Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Ujue myueseii hawezi pata dhambi kwa Mungu kabisa hawezi mnyima mwanamke dyudyu na wakati anayo yaan anayafanyia kazi maandiko vizuri me nampenda tu na mm itabidi siku anikule tu hakuna namna auntie espy ukitoka wewe inabidi niingie mm
Auntie nikitoka tu nakustua kwakweli, hizi raha za dunia zisitupite hivi hivi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wamtake radhi ndugu yangu harufu ya mdomo hapana jamani kwa ustar wake tungeshamsoma kwa mange waniachie ndugu yangu
Weeee. Ukintajia Mange unanipanikisha. Uliona ule picha tulipiga na wale wahanga wake? Wanasema siku tukichambwa mmoja hapa jiandaeni na nyie kuwekwa uchi sisi wenzenu tushamzoea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana. Huyu wa hapa hapa. Nikiona anaandika humu moyo unadunda kama utoke. Sijui ndo nampenda au la.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maniner acha wizi we kahaba muuzaji
 
Weeee. Ukintajia Mange unanipanikisha. Uliona ule picha tulipiga na wale wahanga wake? Wanasema siku tukichambwa mmoja hapa jiandaeni na nyie kuwekwa uchi sisi wenzenu tushamzoea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh picha ipiii hiyo tena mbona sijaimanya na muhanga gani huyo
 
Back
Top Bottom