Yao yaoKho Kho Kho
😂Afu kibezi Fulani ivi😉
Sio mwanzo tu mm ntakupenda kila siku cha umuhimu uwe na heshima tuKaribu,but ndivyo ilivyo mwanzo kilamtu anakuwa kipofu
Mambo mazuri yanakuja, wenye wivu wajinyongeSawa,nitajitahidi Kwa kweli
Penzi jipya bana dah!! Umenikumbusha na kunitamanisha vile vile nitamani kumpata mpya😢😢Umenikumbusha mbali, penzi langu jipya miaka ya 2011.... nlikua napelekewa moto utadhani nimejiajiri nikiinuka ni miguu inatetemeka hata kutembea siwezi 🙂
Ndoa hizi kuna mahali unafika unatafakari, kweli kuna milima na mabonde, asa aya ni mabonde au makorongo?😒🙌kweli simama nishuke
Renew tu hilo hilo la zamani 😂😂😂Penzi jipya bana dah!! Umenikumbusha na kunitamanisha vile vile nitamani kumpata mpya😢😢