mapenzi na housegirl

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
Nyumbani kwa baba mdogo wangu kila mara wafanyakazi wa ndani wanabadilishwa; kuja kuchunguza nikagundua dingi anawachezeaga rafu, maza akishtuka wanamtimua. Sasa huyu wa sasa ansumbuliwa sana anatishiwa kufukuzwa kazi amenifuata kutaka ushauri, Je, ampe kunusuru kazi au aondoke kurudi kijijini Singida?

Mshaurini wana JF.
 
Mwambie asimpe na amshitaki kwa maza hausi amkomeshe huyo mdingi tabia gani hiyo yaani mkewe hamridhishi au?
 
Mwambie asimpe na amshitaki kwa maza hausi amkomeshe huyo mdingi tabia gani hiyo yaani mkewe hamridhishi au?

dada dena hata akisema lzm afukunzwe kwani maza anajua iko siku atazidiwa mbinu na kumpa
 
dada dena hata akisema lzm afukunzwe kwani maza anajua iko siku atazidiwa mbinu na kumpa

Awaombe azungumze nao pamoja awaeleze kuwa hapendezwi na hiyo tabia ya mzee yeye kaja kufanya kazi sio kulala na faza hausi
 
Hebu we kaa na dingi mdogo af mchane live kua upuuzi anoufanya ni aibu kwa familia na jamii nzima
 
Eeeh Mola wasaidie hawa wadada maana nao ni binadamu kama wengine, Na nyie wakaka mkome hii tabia kama wake zenu hawawaridhishi muwaambie wajirekebishe!!!
 
Mizee mingi inapendamahg kwa kuhisi wako safe sana ila wengine hawajatulia hata kidogo.mwambie mkewe ili amkomeshe
 
Hizi sheria zenu hizi....?????Eti haki...!!! Haki ?? Mnainyima haki jinsia ya kiume.Dume limeumbwa kuongeza idadi ya viumbe duniani,sasa mzee anapo............. na hausgeli mnakasirika tufanyeje sasa na mwanaume kaumbwa ku...................................
 
Ampe tu ama kibarua kiote mbawa,kwani hata akimnyima hatampa mwingine.mademu wengine bana,mwambie abane aone atajikuta yuko kiomboi in no time hata akiropoka bado outcome ni kufukuzwa.

This is a cruel world we live
 
Mwambie ni demu wako muombe akuachie (kama mmezoena kiasi hicho) kama unaogopa kumwambia mwambie demu ndio amwambie, kumwambia mama hapana husifanye hivyo maana utaleta ugomvi wakuchonganisha baadae wakifurahisha na mama watakuchukia wewe.

Kama hutembei na huyo binti we mwambie achukue maamuzi yake binafsi we jitoe yako yawe macho, jali muda wako na mambo yako. Husije ukawa adui ukapoteza mambo yako unayofanya.

Maana kama ni tabia yake na Mkewe anajua waachie husije ukawa victim.
 
Hata mimi nimeona jamaa atakuwa yeye ndio anamuonja housegirl
 
Huyo mke anajua tabia mbaya ya mumewe aache kuajiri h/girls amlete ndugu ya huyo baba isitoshe anawaharibu hao wasichana na kuwaletea magonjwa.

asimpe kabisa kwanza anamzalilisha hiyo ni rushwa ya ngono
 
Baba Mdogo anaonyesha ni kwa kiasi gani asivyomheshimu wala kumjali mama mdogo, huwezi fanya zero grazing mama hausi avumilie. anaweza kukuvumilia ukiufanyia huo uchafu wako huko nje lakin sio home. Mimi nimeshaona visa vyau kweli..jamaa alitaka kuchakachua beki tatu sebulen wakati maza hausi yupo chumban amelala> beki tatu alikataa kata katu na kilio cha nguvu juu...maza hausi ni kulia tuu ndo kilichofuata...jamaa ni mchezo wake kwea hao beki tatu...wazeee wamekaa ameonywa lakin jamaa hakuacha.

QUOTE=mareche;1759592]nyumbani kwa babamdogo wangu kila mara wafanyakazi wa ndani wana badilishw kuja kuchumguza nikagundua dingi anawachezeaga rafu maza akishtuka wana mtimua ss huyu wa sasa ansumbuliwa sana anatishiwa kufukuzwa kazi amenifuata kutaka ushauri je ampe kunusuru kazi au aondoke kurudi kijiji singida mshaurini wanajf[/QUOTE]
 
Matamu sana coz huwa ya wizi wizi tena ya golden chance, raha inazidi ukimpata beki 3 tokea singida! Achen dingi afaidi uhondo wa mtoto wa mkulima!
 
Poor girls. Mshahara wenyewe unakuta analipwa elfu kumi kwa mwezi tena kwa mbinde.Dawa mama amvizie mzee siku akimdaka live am bobbit!
 
Back
Top Bottom