Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,812
Acha kumjudge kijana kwa namna hiyo, miaka mitano sio michache na huo muda unaosema wa "mguu pande" ni obvious ulikua umeshapita by then na most certainly walishaanza kuweka mipango ya maisha.
Break up baada ya committment ya muda mrefu maumivu yake si kwa sababu ya mapenzi tu bali na plans ambazo mliweka pamoja au plans ulizokuwa nazo juu ya mwenzako kuvunjika in an instant. Hivyo tuwe matured kidogo, jamaa anahitaji msaada sio kejeli
Sijui umetoa msaada gani sasa hapo. Watu wengine mnakaa kulalamika tu badala ya kufanya maaymuzi. Kwa hiyo wewe ulitaka aendelee kuumia kwa vile slishafanya commitment.
Suala hapa ni kwamba ameshatambua mapema huyo demu hamfai, achukue hatua ya kusonga mbele. Ayaweke kisogoni na kusahau. Pia atambue dunia ya leo sio ya kujiachia mzima mzima, utakuja geuka chiz siku ukitendwa.
Haya we endelea kulalama utadhan una ukoo na chama cha kijani.