Pole
..
Maumivu yataisha...
Kisha tuliza akili utafute mwanamke bora....ukimpata uoe sio umgegede tu weeee miaka mitano utafikiri mnasomea udaktari
Naombeni msaada wana JF,
Nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mi 5,nilikuwa nampa kila kitu anachotaka,siku moja nilimkuta na mwanaume mwingine nililia sana yaani almanusra nijiue.
Tangu siku hiyo hamu yote ya kungoneka imekata yaani cna tena hamu na mwanamke sababu tangu niachane nae baada yakumfuma ni miezi 5 imepita ila mpaka sasa nakuwa nastress mpaka kichwa kinauma hadi leo.
Nataka nirudi katika hali yangu ya kawaida ya kuwa na mpenzi mwingine lakini apetait sina nao.
Je, hii hali niifanyeje initoke?
Naomba ushauri mzuri
Sitapenda matusi.
asante sabrina..
i have 29yrs old .....plsss help
me.

Kama utaki kuhumia piga punyeto otherwise komaa dogo ajali kazini
Kaka si alikuwa anamchunguza miaka mitano....
Teh teh hatimaye akamgundua kwamba ni kimeo
I am 29 years old,icho kiingereza chakisukuma ee,,by the way polee ndo unakomaa ivo keep goingi have 29yrs old .....plsss help
me.