Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

Mapenzi mabaya sana, nilimfuma na mwanaume mwingine

Mkuu we mpotezee tu wala haitadhuru kitu...mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana ukimuendekeza.
 
Wewe ulimpataje wenzako washindwe?

Tafuta wa kuoana nae, wacha kuchepuka.
 
Kuna vitu vingine malizeni kivyenu popoma wewe hata wewe wa kiume unaleta ujinga huu ??? Wewe miaka mitano mpo tu

Alikata tamaa na wewe anahaha kumtafuta mwanaume wa ukweli
 
kwanza achaga kulia lia na kutaka kujinyonga... sasa tafuta demu piga tu kwanza halafu baadae swala la mapenzi lifuate baadae
 
Naombeni msaada wana JF,

Nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mi 5,nilikuwa nampa kila kitu anachotaka,siku moja nilimkuta na mwanaume mwingine nililia sana yaani almanusra nijiue.

Tangu siku hiyo hamu yote ya kungoneka imekata yaani cna tena hamu na mwanamke sababu tangu niachane nae baada yakumfuma ni miezi 5 imepita ila mpaka sasa nakuwa nastress mpaka kichwa kinauma hadi leo.

Nataka nirudi katika hali yangu ya kawaida ya kuwa na mpenzi mwingine lakini apetait sina nao.

Je, hii hali niifanyeje initoke?

Naomba ushauri mzuri

Sitapenda matusi.

Huyo hakua wako. You should thank God you busted her na mwanaume at this period kabla hamja maliza more than 10 years pamoja. The depression you are going through is temporal, jipe muda itaisha na usiharakishe kuoa ju wakati ufaayo utafika. Now do me a favour and repeat after me "I WILL STOP CRYING OVYO OVYO LIKE A BABY OVER SMALL ISSUES"... All the best bro
 
Hans Lema , miss chagga msaidie kaka yako huyu. Kuna imani kubwa kuhusu wanaume wa huko alikotokea huyu jama kuwa ni wapole sana...very naive! Yani kwangu hilo ni jambo dogo sana ila kwake atakuwa kalikweza sana..na kuhusu kujinyonga watu wa huko wala sio jambo gumu kuamua!


 
Last edited by a moderator:
Kaka utakua ulimliza ndio maana amekuliza...hata Kama ulimpea kila kitu, inawezekana ulishamtenda kabla., sasa ndio ameamua kufanya hivyo. Uache kujitetea upande wako, demu hawezi cheat Kama hujamtibua.

Kweli kabisa
 
hans lema ukitaka amani, mke mzuri njoo kwa Bwn Yesu!!
Achana na uzinzi tubia zambi zako, mpe Bwn Yesu maisha yako atakupa Amani utulivu na mke mzuri saana!!
Kwa Bwn Yesu kuna mabinti wengi wazuri wanaomba wapate wenza wa maisha!!
Ubarikiwe kwa maisha mapya!!

Ushauri bora sana
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wapo wengi utampata mwingine, ila kwa kipindi hiki jikip bze na mambo mengine au jisomee sana magazeti mbalimbali au vitabu ili kuhamisha akili yako, kwa ivyo unaweza kutuliza akili yako na ukamsahau kabisa, huo ndo ushauri wangu,
 
Tatizo letu sisi wanaume kwa wanawake tunaowapenda, tunawapenda kupitiliza mpaka tunapoteza thamani zetu kwao.

A general rule should be love yourself first. Jipende wewe kwanza. Jipe wewe kwanza.

Hata wao wanaonaga tulivyo mazoba ndo maana wanaanza kutuchezea.

Tukiingia kwenye mapenzi tunakuwa vipofu, hatujitambui, tunatumiwa mpaka basi.

Ukijipenda wewe, na ukijitambua, yeye ndoa ataanza ku-hassle kuku keep.

Ukipenda mambo yako vizuri, so yeye tu hata jamii itaku admire.

And number of good people will want to keep you in their circles.

Be a man a woman dream to have.

Hata Mungu amesema tunatakiwa tuishi nao kwa akili.

Mwanamke na asiifahamu akili yako. Kwa kifupi usibwete na kishi kwa mazoea. Learn to take control.
 
Mkuu kwa tabia zako hizo za kulia loa na kukombilia kujinyonga, subiri na watakutenda sana. Inakuwaje unajiachia mzima mzima kwa mwanamke? Kwa dunia ya leo ya kizazi cha nyoka unatakiwa ukae mguu pand, mguu mmoja nje na mwingine ndani.

Mwanaume ukikutana na hali kama hiyo haraka harak unafanya maamuzi na kusonga mbele. Huyo ni mchumba tu, vipi angekuwa mke? Acha uzrmbe, fanyaaamuzi na songambele na maisha. Unapenda kama kipofu, kama vile hauijui dunia ya leo!!. Endelea na maisha huku ukijua akili za wanawake zinatofautiana na pia zinafanana sana. Usisunori kushangazwa/kuduwazwa.

Tafuta demu mwingine uwndelee naaisha, acha kuhangaika na matukio. Likitokea na kupita basi, fanya maamuzi ya haraka na songa na kamwe usiwe na akili ndogo kama kile chama cha kijani

Acha kumjudge kijana kwa namna hiyo, miaka mitano sio michache na huo muda unaosema wa "mguu pande" ni obvious ulikua umeshapita by then na most certainly walishaanza kuweka mipango ya maisha.
Break up baada ya committment ya muda mrefu maumivu yake si kwa sababu ya mapenzi tu bali na plans ambazo mliweka pamoja au plans ulizokuwa nazo juu ya mwenzako kuvunjika in an instant. Hivyo tuwe matured kidogo, jamaa anahitaji msaada sio kejeli
 
what a fantastic piece of advice!he should be a man nt a boy..pain is temporal there4 tel yaself "all is well"and go on
 
Back
Top Bottom