Mapenzi kabla ya ndoa

Mapenzi kabla ya ndoa

Baadae uje kulalamika tena hapa oooh tumesubiri mpaka ndoa kumbe mwanaume mwenyewe shoga, oh hana nguvu za kiume kibao kimoja tu analala fofofo, mara jogoo hawiki, sijui ana kibamia na mengine kibao, kila la kheri mama mkishaoana utupatie mrejesho.....!!!!
 
Ushauri wako nin? Msimamo wako ni upi? Mtazamo wako juu ya hilo nin?
 
Nashangaa sana tunapokubaliana kuingia katika uhusiano wa kimapenzi alafu unanigomea hilo penzi, kama ni hivyo ungeniambia 😕 tuingie katika uhusiano wa kirafiki basi.
 
tuwe wachumba na tusikutane kimwili mpaka ndoa, je nitajua aje kama mzigo upo au laa maana wengine mumeumbwa na kikojoleo tuu na mnadhani mzigo. Mali lazima ikaguliwe na kufanyiwa mazoezi kama inahimili mziki...
 
Si kwa wanaume tu ambao wanataka mapenzi kabla ya ndoa bali pia kwa wanawake. Wanawake nao wanataka wajiridhishe je huyu mwanaume ni rijali? Shake well before use.

wanawake nao wanaogopa kukutana na vitu kama hivi!!
 

Attachments

  • 1411219788602.jpg
    1411219788602.jpg
    60.1 KB · Views: 245
Mungu atanisamehe kwa kweli ila lazima tbs ihakiki ubora wa bidhaa mapema
 
Kwa hiyo mimba ikipatikana, ni ya halali au ya haramu? Halafu siku hadi siku tunajiuliza, kwa nini watoto nae hawaaminiki siku hizi? Hizi mtindo za kutesti eti mwanamke anaweza kuzaa kabla hujaingia ndoani, amekuwa shamba??!! Laana hizo... matokeo ni fikra potovu kamwe ya jamii.. simple and plain truth!!
 
am not advocating for no sex before marriage or kuikubali.. kuna madem wawili nawajua baada ya kuingia ndoani, wa kwanza jamaa alikataaga sex hadi ndoa kufika ndani jamaa jogoo hapandi af ni ms**ge, wa pili jamaa karud zake toka UK in 2 months wakafunga ndoa .. kuzoeana kujuana akagundua jamaake ni sodomy si kitoto. thus sometimes inafaa sometimes haifai kwa kweli coz now hao gals wanahangaika kutafuta divorce kwa mbinde right now.

Sodomy ndio nn?

hilo neno sikufundishwa kwby shule zetu za kidumu na mfagio
 
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?

Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.

Unaponunua gari, test drive ni lazima kwa dunia ya leo, laa sivyo utauziwa mbuzi kwenye gunia. Kama hautaki kugongwa kabla ya ndoa, basi jioe mwenyewe!
 
Mambo mengine ni magumu kutimiza tutaendelea kutubu tu.

Huwezi kuniambia eti nisubiri ndoa ndio nikukaze mm sio mjomba wako,hata chakula chumvi unaonjea jikoni kikija mezani kila kitu kipo sawa...

Dushe lenyewe linaanza kusimama utotoni halaf likae kusubiri mpk ndoa?
 
Back
Top Bottom