Mapenzi kabla ya ndoa

Mapenzi kabla ya ndoa

Dunia ya leo ndio ilivyo mambo ya kusubiri hadi ndoa ndio mfanye tendo la ndoa/mapenzi ni nadra sana siku hizi.

Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?

Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.
 
Last edited by a moderator:
Zinaa ndio dhambi kubwa ambayo wanajamii wa leo wameigeuza kuwa tendo la kishujaa...
Leo ukisimama mbele za watu na ukisema tangu nizaliwe sijawahi sex ...watu watapigwa na butwaa na hata baadhi kukucheka...kwa kuwa eti ni ushamba...
Ukiwa na uhusiano na mtu usipomuomba mbunye lazima akushangae na anaweza akaenda mbali zaidi kwa kudhani labda dushelelel halifanyi kazi....
Lakini amini nawaambia wanajamii wenzangu Mungu mtukufu hakuweka hiyo sheria kwa ajili ya kututesa waja wake bali kutuepushia mabalaa....
Mungu aliposema kuwa watu wasizini mpaka wafunge ndoa alikuwa na maana kuwa...ule utamu wa papuchi uujulie hapo hapo
kwa maana kuwa hata kama mumeo ana kibamia lakini huwezi kujua kama kuna wakina Mandingo....kwa kuwa wewe uume wa kwanza kuujua ni wa mumeo tu....
hata kwa sisi wanaume hata kama mkeo ana bwawa huwezi kujua kama kuna mnato kwa kuwa mwanamke wa kwanza kumjua ni mkeo tu....
lakini leo hii mtu mpaka anaolewa ameshakutana na madushe ya kila aina yenye ladha za kila namna hataweza kuivumilia ndoa...
Mwanaume unakuja kuoa tu kama kutimiza wajibu lakini huna ugeni NA papuchi....ndoa haziwezi kudumu kwa mitindo hiyo....
 
Baadae uje kulalamika tena hapa oooh tumesubiri mpaka ndoa kumbe mwanaume mwenyewe shoga, oh hana nguvu za kiume kibao kimoja tu analala fofofo, mara jogoo hawiki, sijui ana kibamia na mengine kibao, kila la kheri mama mkishaoana utupatie mrejesho.....!!!!

hahahaha! Nimeipenda hyo
 
Kweeli tujinyenyekeze kwa Mungu cku hadi cku il azid kutuhurumia, maana kuna vitu kuvishinda ni ngumu sana.
 
yaweza kuwa kweli kama mnakutana wote hamjaanza mtafungua njia kulingana na maumbile yenu mwanaume akifungua njia ya size yake pengine malalamiko ya vibamia yasingekuwepo.
 
pregnant-bride-portrait-african-woman-bridal-flowers-30785050.jpg

Yalaaaaaaaaa
 
Aisee watu hawaelewi tena. Ukimwambia mtu msubiri basi atakutafutia sababu za kuachana etc. Wakaka hawataki na wanawake pia hawataki. Vurugu mechi!

kama wewe ni genuine hapo laki kamà wewe ni second hand " hapo lazima tu-shake well before used
 
Utakuta unakuwa na rafiki ambaye unamuita mpenzi, ukimwambia no yaani tusikutane kimapenzi kabla hadi siku ya ndoa anakasirika.

Hivi kutokufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi siku hizi?

Ni ushamba?
Mkiwa katika mahusiano ni lazima mapenzi?

Naona kama dunia imekumbatia uzinifu imeufanya ndio jambo jema, na jambo jema limekuwa ni baya.

In red: Tena kubwa sana, itapelekea usiuone ufalme wa mbinguni.
In blue: Ndio
 
Zinaa ndio dhambi kubwa ambayo wanajamii wa leo wameigeuza kuwa tendo la kishujaa...
Leo ukisimama mbele za watu na ukisema tangu nizaliwe sijawahi sex ...watu watapigwa na butwaa na hata baadhi kukucheka...kwa kuwa eti ni ushamba...
Ukiwa na uhusiano na mtu usipomuomba mbunye lazima akushangae na anaweza akaenda mbali zaidi kwa kudhani labda dushelelel halifanyi kazi....
Lakini amini nawaambia wanajamii wenzangu Mungu mtukufu hakuweka hiyo sheria kwa ajili ya kututesa waja wake bali kutuepushia mabalaa....
Mungu aliposema kuwa watu wasizini mpaka wafunge ndoa alikuwa na maana kuwa...ule utamu wa papuchi uujulie hapo hapo
kwa maana kuwa hata kama mumeo ana kibamia lakini huwezi kujua kama kuna wakina Mandingo....kwa kuwa wewe uume wa kwanza kuujua ni wa mumeo tu....
hata kwa sisi wanaume hata kama mkeo ana bwawa huwezi kujua kama kuna mnato kwa kuwa mwanamke wa kwanza kumjua ni mkeo tu....
lakini leo hii mtu mpaka anaolewa ameshakutana na madushe ya kila aina yenye ladha za kila namna hataweza kuivumilia ndoa...
Mwanaume unakuja kuoa tu kama kutimiza wajibu lakini huna ugeni NA papuchi....ndoa haziwezi kudumu kwa mitindo hiyo....

umeongea busara tupu......ubarikiwe....
 
mwanamke wa leo sio wa kuoa bila mimba imefika miezi tisa mirija mingi ya uzazi imeziba

Msitudanganye sie wanawake wa leo kwa sababu sio wote pia wanaolewa wakishapachikwa hizo mimba pia.
 
Imekuwa kawaida kuwa mzinzi...cha ajabu asiyezini aonekana mshamba...!
Tatizo kubwa ni kuwa tunazini na watu lukuki na hadi kufikia ndoa inakuwa aibu...
Ukipata mdada/mkaka mwenye 25-30 aliyetembea na less than 5 umelamba dume..!
wengi ni double digits..

uuupps!!jeeez
 
"Unapopika mboga" lazima uonje kama chumvi imekolea
 
Uchakachuzi unauanza mara baada ya kubalehe (miaka 12-13) unapata mpenzi una miaka 22-25 unamwambia msifanye mapenzi wakati takribani miaka 10 umekuwa ukigawa papuch kwa watu tofautitofauti leo unajifanya msafi na mtakatifu wakati bikra ilinyofolewa muda mrefu? Dunia ilishaharibika acha watu wale ujana bwana
 
Back
Top Bottom