We rose hutosheki!!!!!!!!!!!!!!!awatoshek.
utosheki
sitosheki
atosheki.
ila mabucha tofauti.Tamaa tu ya mwili.. nyama ileile basi tu..
hata nyama ziko tofaut,ya ng'ombe huwezi linganisha na KITIMOTO,Pia nyama nyingine inawekwa viungo vingi,haiwezi kuwa sawa na isiyo na viungo kabisa,Tamaa tu ya mwili.. nyama ileile basi tu..
hata nyama ziko tofaut,ya ng'ombe huwezi linganisha na KITIMOTO,Pia nyama nyingine inawekwa viungo vingi,haiwezi kuwa sawa na isiyo na viungo kabisa,
Wataalam utawajua tuu
utajuaje asali tamu?unaonja..
utajuaje shubiri chungu?unaonja..
tofauti ya chumvi,sukari,pilipili na magadi?unaonja....
we always want what we dont have......
Mkuu wacha tuu na maelezo ya kujustfy mambo na matendo yaowana ufundi wa haya mambo.
Tamaa tu ya mwili.. nyama ileile basi tu..
urohooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo na ulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiii