Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
Elizabeth Dominic unataka dawa ya Boflo o o o o o oo o o oooo umuwekee nani?
Last edited by a moderator:
Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL
hii makitu on other hand because i realy dont know what is behind all those power and the energy tight them together kwa kweli other wise nimejua nitaunga hojakuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?
Hamuoni kuwa ikiwa hivi dhana ya usaliti wa ndoa itatoweke kabisa? Migogoro ya mahusiano na mapenzi na kufumaniana hayatakuwapo tena na familia zitaishi kwa amani na upendo? Najaribu kufikiria kipuuuzi tu yaani tukifika huko hata jukwaa la mmu linawezwa kufungwa maana kutakuwa hakuna mambo ya kujadiliana? Naifikiria jinsi dunia itakavyokuwa na amani, lol! nivea, kaunga, snowhite, snowball na wengineo mnalionaje hili?
Inategwa kwa anaye ingiliwa...........kama boy friend wako anaingiliwa sawa...!!:whistle:Tayari mimi nimeshainunua, Bf wangu akae mkao wa kutegeka.
kweli binafsi ningefurahi sana huku kunasana ni aibu kwa sana jamani lol
hii makitu on other hand because i realy dont know what is behind all those power and the energy tight them together kwa kweli other wise nimejua nitaunga hoja
Elizabeth Dominic unataka dawa ya Boflo o o o o o oo o o oooo umuwekee nani?
haswaaaaaaaaaaaaa!!!!!my kaka usije weka kwa wifi maana naona unafanya kareseach kijanja n\janja chonde chondeinaweza kuwa ushirikina?????
DU ISIKUTE NI YALE YA BABU WA LOLIONDO KUZIMA HOJA YA ZITO BUNGENI YA MABILIONI YA USWISS MAANA KILA KONA YA JIJI NA NJE YA JIJI NDIO HOJA KUU ATIMdogo wangu hili la kunasana hata mimi siungi mkono hoja, yaani hata kama wifi yako (mama HP Junior) angekuwa ndo kanitendea hivyo, siwezi kumnasisha, ningeheshimu muda tulioishi naye na watoto alionizalia then angeambulia talaka aondoke kwa amani akaishi kwa ampandaye zaidi .... lakini siyo kumfanyia hivi, NO!
haswaaaaaaaaaaaaa!!!!!my kaka usije weka kwa wifi maana naona unafanya kareseach kijanja n\janja chonde chonde
DU ISIKUTE NI YALE YA BABU WA LOLIONDO KUZIMA HOJA YA ZITO BUNGENI YA MABILIONI YA USWISS MAANA KILA KONA YA JIJI NA NJE YA JIJI NDIO HOJA KUU ATI
SI UNAJUA TENA kuwa mtanzania nayo ni moja ya maajabu ya dunia!!!!
Hii ingekuwa tamu sana kama siku ya ndoa mume na mke mnapigwa hiyo dawa, ukitaka kudo nje ya ndoa, kila kitu kinaenda off, aisee ingekuwa imetulia sana, LOL! Yaani ukisafiri huna pressure, mke/mume akichelewa kurudi huna pressure ya kuibiwa, wabakaji nao wasingeweza kufanikiwa! yaani, lol!
Ila pamoja na hayo, ingependeza zaidi kama moyo au upendo wake kwako ukawa hiyo dawa. Ni kitu twaweza sema cha kufikirika kwa nyakati hizi lakini inalipa zaidi. Kuwa huyu mpenzi wangu hawezi kukitembeza coz ananipenda mimi na hakuna mwingine kama mimi, nami siwezi kukimanua kungine coz mwenye uwezo wa kunituliza ni huyu ninaye mpenda tu naye yuko peke yake duniani; what do you think?
Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL
Hii ingekuwa tamu sana kama siku ya ndoa mume na mke mnapigwa hiyo dawa, ukitaka kudo nje ya ndoa, kila kitu kinaenda off, aisee ingekuwa imetulia sana, LOL! Yaani ukisafiri huna pressure, mke/mume akichelewa kurudi huna pressure ya kuibiwa, wabakaji nao wasingeweza kufanikiwa! yaani, lol!