Mkuu unataka useme kweli kwa umri wake haijui Mboga ya majani, Mbona mimi nilijua Kumaliza shule kuna raha gani mapema?Umejuaje neno hili la kudisa??
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia