julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Ukweli ndio huo! kila shetani na mbuyu wake aisee, kuna watu utagusa kona zote lakini hafiki kileleni ila ukweli kuna mjinga fulani humfikisha kirahisi sana ambaye akipewa wa kwako naye anaweza asimfikishe hata awe na upepo vipi!!!!!!!