Mapenzi hayana mjuzi

julius mahinya

JF-Expert Member
May 11, 2013
1,152
384
Ukweli ndio huo! kila shetani na mbuyu wake aisee, kuna watu utagusa kona zote lakini hafiki kileleni ila ukweli kuna mjinga fulani humfikisha kirahisi sana ambaye akipewa wa kwako naye anaweza asimfikishe hata awe na upepo vipi!!!!!!!
 
Kwa nn asifike. Kama hafiki muulize asuguliwe wapi na VP. Wana tabu sana Hawa. Wengine wanasehemu maalum walizozoea kukunwa.
 
Kakudanganya nani...? Kuna sanaa ya mapenzi aka the art of love, kama hujui japo robo ya hii makitu utakimbiwa daima na utamaliza waganga ukitafuta ndele....waweza fikiri una gundu kumbe wallah...! Ni sanaa tu una div 5...!
 
Dah kweli bwana, kuna m1 nilikutana naye alinitesa kumsoma nanihiii zake ziko wapi basi nikasema ngoja nitie kidole kule nyuma kuleeee weee alipandisha mzuka sijawahi kuona !!
 
Dah kweli bwana, kuna m1 nilikutana naye alinitesa kumsoma nanihiii zake ziko wapi basi nikasema ngoja nitie kidole kule nyuma kuleeee weee alipandisha mzuka sijawahi kuona !!

Hahahaaa majangaaa puuuu!
 
Kakudanganya nani...? Kuna sanaa ya mapenzi aka the art of love, kama hujui japo robo ya hii makitu utakimbiwa daima na utamaliza waganga ukitafuta ndele....waweza fikiri una gundu kumbe wallah...! Ni sanaa tu una div 5...!

mbona unaniogopesha jamani?
 
mapenzi ni sanaa bila kuwa tayari kujifunza huwezi jua sanaa hiyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom