Mapenzi haya kero nishaurini

Mapenzi haya kero nishaurini

Haha ...yeah ni kauzu sana. ..aliharibu sana kwenye ule uzi ...yaani aliomba ushauri wakati huo huo alivyokuwa anashauriwa ikawa ana panic
Huyu demu ni kauzu, nakumbuka aliwajibu watu shit waliokuwa wanamshauri kuhusu hiyo business yake.

Kumbe zilikuwa ni mchanganyo wa stress za kutonanihiwa vizuri...
 
Nashangaa wanawake kwa nini wanakubali kujirahisisha na kuwa michepuko.

Mwanaume wa kweli anaekupenda atakusubiri mpaka akuowe dada yangu.kinyume na hapo ni wa kutumika na kuacha solemba tu.

Huyo mbaba yeye anataka akule tu aende zake yaani uwe mchepuko wa kumpa raha alafu ukiisha au ukiwa siku zako ana tafuta mwingine.sotaki kuamini kama hana mke.na kama hana basi jua ashajichokea huyo anataka kuwaharibu tu aende zake.

Nilitaka nione ajabu sana mzee wa miaka 65 adate na mdada wa 35 alafu huyo mzee awe maskini maskini tu hata kaofisi hana? Nadhani huyo mzee ana kanafasi kidogo hapo ndo mana anaonekana wa miaka 30.kwa niniababu wotr wanaodate na vidada vidogo huwa wanajiweza? Unadhani wana mapenzi ya kwelii?

zinduka my sista.

Angalia sasa unavyodhalilika kwa sababu ya vile ulivypjiweka mwenyewe,wanaume wabaya sana sisi lazima mtufanyie ukatili wa kutunyima mapenzi mpaka ndoa.pasi na hivyo mtakuwa mnatumiwa na kutupwa tu huku mkiugulia maumivu ya kuachwa.

Angalia mbaya zaidi amechukua dada mwimgine hapo hapo kazini alafu huyo dada alochukuliwa atakuona bwege balaa.

Cha muhimu jiwekee misimgi,usikubali kuwa mchepuko hata siku moja dada yangu.

Kumbuka ukiwa mchepuko kwa uzuri wako basi wapo wengine wengi wanaozaliwa wazuri zaidi yako.hivyo utakuwa ni kituo katika njia ya usafiri watu wanatumia kituo then wanaendelea na safari huku wewe ukiwa umebaki pale pale.

NILITEGEMEA KWA UMRI WAKO UTAKUJA NA THREAD KUHUSU MUME WAKO WA NDOA HUMUELEWI.ila ndo kwanzaaaaaa atiii mpenziiii
Hakuna siku hizi wanaume wa kuoa. Vinginevyo akisubiri wa kumuoa atabaki na kitumbua chake
 
Picha anayokuonyesha mkiwa kazini ni picha ya kihindi....na mwenzako pia analiwa na soon atasaidiwa pesa ndogo ndogo. .kama alivyokupata wewe akakutumia ...kakuchoka hata kukuaga ni shida sasa ni zamu ya mwenzako...

Muwe mnatuliza vikojoleo vyenu kenge nyinyi.
 
Kitu kitamu unachangia na wenzio.
Acha na huyo dada ajichanganye naye! Kwa sababu inaonekana hata wewe si mume wako.
Maana miaka 65 atakuwa na mke na watoto wake. So nyote ni michepuko tu.

Kwani umeshaolewa au bado?
Tuanze na hilo kwanza.
na wajukuu
 
ngoswe penzi kitovu cha uzembe....kweli ofisini mnaleta habari za mapenzi? ebu jaribu kufanya kila jambo kwa wakati wake na mahali pake sahihi
 
Yani we dada uko criaz au unatania? huyo ni si mume wa mtu jamani? lakini umemfungulia hadi thread ambayo nimesoma but hamna nilichoambulia duh, umri huo badala utulie umuombe Mungu akupe alie wako unapambana na wazee wa miaka 65 kama sio kutafuta laana ni nini khaaa
Hahahaaa
 
Njoo pm tuongeee mm nikijana mwenzako tutajadiri namna ya kufikishana galilaya
 
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.

Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu.

Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo.

Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja.

Sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Ni wivu tu,Ni wivu tu unakusumbua.
 
Naomba niulize swali moja la ufahamu, babaako ana umri gani Mkuu? Na je mama nae umri wake ukoje? Lakini pia unafaidi nn kwa huyo mstaafu? Je kwa vijana wanaokuona na huyo mstaafu wanakuchuliaje? Majibu hayo yatakupa maamzi. Kwa heri
 
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.

Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu.

Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo.

Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja.

Sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Kwañn unampenda mtu wa aina iyoo 65 years dah weka hisia pembeni badilisha mpango juu yake be a gold digger sababu ata ukisema uwekeze hisia zako kwake atakuja kukuacha2 vuna pesa muache solemba ila usijaribu kwenye mapenzi yenu kumtumia picha za uchi au video za uchi
 
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.

Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu.

Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo.

Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja.

Sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Umekosa mwanaume wa rika lako kabisa? mapaka utembee na babu wa watu??
 
Kuna wimbo " tutabanana hapa hapa" jikatae! Simple.
 
Picha anayokuonyesha mkiwa kazini ni picha ya kihindi....na mwenzako pia analiwa na soon atasaidiwa pesa ndogo ndogo. .kama alivyokupata wewe akakutumia ...kakuchoka hata kukuaga ni shida sasa ni zamu ya mwenzako...

Muwe mnatuliza vikojoleo vyenu kenge nyinyi.
😂😂😂 boss kazi anataka amteme af yeye anajidai haelewi somo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom