Mapenzi haya kero nishaurini

Mapenzi haya kero nishaurini

kinadada ni rahisi sana kupotezewa future na mtu mwenye pesa, huyo mzee wa miaka 65??? mapenzi yenu yana lengo gani haswa?
 
Random selection..teh!
Hizo random selection unaweza ukajikuta unaangukia kwa kimeo hatari bora uwe na mtu ambae akili yako na moyo wako unajua kabisa kwamba hakuna future
 
Ni kweli, inaumiza unapokuwa umeweka matarajio kwa mtu ambae ni kimeo
Hivi Khantwe kwa mtu wa 30-35yrs hapo ukiwa na mahusiano yasiyo na future si manake umekata tamaa? Unless labda kama mdada nae hataki mahusiano ya mda mrefu, maana kuna wanawake nao hawataki kuingia kwenye ndoa.
 
Hivi Khantwe kwa mtu wa 30-35yrs hapo ukiwa na mahusiano yasiyo na future si manake umekata tamaa? Unless labda kama mdada nae hataki mahusiano ya mda mrefu, maana kuna wanawake nao hawataki kuingia kwenye ndoa.
Tunaweza kusema kukata tamaa kwa upande mmoja ila kwa upande mwingine tunaweza kusema ni kumove on
 
Yaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
My God. Shirika la Dini!
Dada wewe unanufaika sana na nini pesa zake, mapenzi au vyote?
Kama ni pesa jifunza ujasiriamali.
Kama ni vyote.
Achana nae, ukimuacha utapata mchumba. Focus kwenye kujiongezea kipato tengeneza maisha. Yakikaa sawa hutajutia muda uliopoteza nae.
 
Mtu wa miaka sitini na tano huwezi kumbadilisha tabia wala kufundisha kitu kipya. Maana umri wako ni pungufu ya nusu ya umri wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom