Mapenzi haya kero nishaurini

Mapenzi haya kero nishaurini

Nachotaka tukiwa kazini mapenzi tuweke kando tufanye kazi kwa amani sasa hatua ya mpaka kutoagana

Wewe ni PS wake mpaka iwe lazima akuage au?


Anyway, kwa umri wako ninaamini fika unajua unachokifanya na unachotakiwa kufanya.

Alamsik.
 
Wewe ndiye huna aibu ulikuwa na akili za panzi wakati anakutanua miguu na kukumwagia kamasi zake katikati ya mapaja yako?

Muda mwingine mjiheshimu kwanza, kwa maana hiyo wewe unaweza kulala hata na mzee wako na usione ajabu.
Nashangaa ww ndo ungeona hata aibu kuandika ww hujiheshimu nan atakuheshimu heshima inaanza na ww yaan Mungu nisaidie yan hata nikutane na magumu kias gan siez badilisha mchi kwakwell
 
una hofu kuwa fuko la pesa laonekana kupeperuka sio?
 
Kiharakaharaka nadhani kinachokusumbua si kutokuagwa ila ni wivu
 
Subiri video itasemaje.
Wanawake mnapenda kulalamika sasa huyo mzee ni mmeo au mpenzi wako? Na kama ni mpenzi wako hayo mamlaka ya mkewe unayatoa wapi?
Anakusaidia maisha hivyo bebeka, na kama hakusaidii maisha hebu jaribu kumuacha uone.
Mkuu kiwango chako hakishuki daima.
 
Nashangaa ww ndo ungeona hata aibu kuandika ww hujiheshimu nan atakuheshimu heshima inaanza na ww yaan Mungu nisaidie yan hata nikutane na magumu kias gan siez badilisha mchi kwakwell
Nione aibu kuandika kuhusu mtu mmoja aliyekeng'euka!!!

Nione aibu mimi!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom