Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Majanga.
Ndo umeona uje kunianshia uzi huku? Daaah Asante Sana. Au ulidhani Mimi huku sipo?Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada hua anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo. Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja , sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada hua anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo. Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja , sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Duh mwanamke unajua detail za G wagon hadi BRABUS?😂😂 miaka 65 hapana kwa kweli labda anihonge BRABUS ,yani wewe una kazi bado unahangaika na vijisent vya wazee View attachment 1091713
Kajiaibisha sana huyu kondoo.Duh nilifikiri wanawake 30+ wanajitambua...
Umri wa mtu sio sababu ya kufikiri atajitambua hii ipo kwa wanawake na wanaume pia.Duh nilifikiri wanawake 30+ wanajitambua...
Duh mwanamke unajua detail za G wagon hadi BRABUS?
Maturity ina nafasi kubwa kwenye busara na kujitambua. Kinyume cha hapo mtu ana matatizo, hio hata kisayansi ndio maana makuzi yana hatua kulingana na umri. Ukikuta kijana wa miaka 16 kavaa kata unaweza kusema akikua ataacha ujana/utoto unamuendesha ila ukikuta jibaba lina 40+ linavaa kata k hapo unajua kuna tatizo mahali si bure.Umri wa mtu sio sababu ya kufikiri atajitambua hii ipo kwa wanawake na wanaume pia.
Cataliyya Uliponaga ule Ugonjwa wako wa Depression?Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada hua anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo. Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja , sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Yaani wewe tungekuwa tunashinda tunaangalia TOP GEAR siku nzima.Ndiyo
Miaka 65 na bado yuko ofisini hajastaafu, na wewe 32 naendelea kumvizia tu mpaka leo!!!Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada hua anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo. Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja , sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
Kipindi changu pendwa naona clouds walijaribu na na 5gearYaani wewe tungekuwa tunashinda tunaangalia TOP GEAR siku nzima.
Yaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
TEH,TEH,TEH.................Kweli kufa kufaana "Alipoo....Upooo"Ndo umeona uje kunianshia uzi huku? Daaah Asante Sana. Au ulidhani Mimi huku sipo?
Asante Sana