Mapenzi gani haya ya kunisumbua

Mapenzi gani haya ya kunisumbua

kifo kitamu

Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
19
Reaction score
4
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster

Pagani Zonda Cinque Roadster

.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha ikawa inakusaidia kupata pesa .
 
Zao la Kawambwa, Mulugo, na Ndalichako. Mitihan yenu mtarudia lini?
 
Nicas Mtei hebu nifafanulie jamaa amesemaje hapo juu.
Naona vogue na nyumba ya masaki na honda sijui nini

@
 
Last edited by a moderator:

kwa kweli hata mimi cjaelewa hata kimoja. Inawezekana ni frustration za division zero zimesababisha huyu njuka aandike vituko
 
ha haaa, hapo nilichogundua ni kwamba hiyo Pangani....... alicopy sehemu sasa hata namna ya kupaste ni mgogoro, ndo maana yamejirudiarudia.....
Tutafika kweli?
 
Tutafikaje wakati vijana wenyewe ndio kama hao wanachora mazombi na Messi kwenye answer sheet?

Offtopic; hujambo teja? Miss u.
 
Aisee hii tume ifanye kazi haraka!
 
Mh! Vip kapatwa na mashetani! Mumuwaishe milembe jama!
 
Tutafikaje wakati vijana wenyewe ndio kama hao wanachora mazombi na Messi kwenye answer sheet?

Offtopic; hujambo teja? Miss u.
inaudhi inaudhi inaudhi....
inaudhi zaidi maana hata hao tuliowaamini watusaidie kupambana na elimu hawashtuki
 
Aisee hali si nzuri!

hali ni tete kuliko kawaida. Halafu eti mamvi alpozungumza na waandishi wa habari alimsifia mwanafunzi aliyemchora Messi. Anadai et mwanafunzi ana akili ndo maana anamjua Messi. Nlshangaa sana.
 
inaudhi inaudhi inaudhi....
inaudhi zaidi maana hata hao tuliowaamini watusaidie kupambana na elimu hawashtuki

Elimu yetu imeshaingiliwa na siasa uchwara. Ndo inaangamia. Taifa linaendelea kuzalisha wajinga
 
hii inanikula sana kichwa...
yaani siamini kama kweli kizazi chetu ndo wajinga hivi? wameanza lini kuwa wajinga wakati sisi wazazi wao vipanga?
 
Tanzania inahtaji ukombozi wa pili. Vinginevyo badaye Taifa litakuwa la wajinga tupu. Tunaendelea kupiga hatua za kurudi nyuma.
 
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster

Pagani Zonda Cinque Roadster

.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha ikawa inakusaidia kupata pesa .

Ulikuwa unataka kunena kwa lugha nini?
 
Back
Top Bottom