Mapenzi gani haya ya kunisumbua

Mapenzi gani haya ya kunisumbua

Mamvi ni sehemu ya tatizo hawezi kufikiri nje ya box
hali ni tete kuliko kawaida. Halafu eti mamvi alpozungumza na waandishi wa habari alimsifia mwanafunzi aliyemchora Messi. Anadai et mwanafunzi ana akili ndo maana anamjua Messi. Nlshangaa sana.
 
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster

Pagani Zonda Cinque Roadster

.
Nyumba ya masaki unaweza pangisha ikawa inakusaidia kupata pesa .

Kweli kifo kitamu......kama kufa kwenyewe ndio huku........
 
kwako FP
48153_483552728372797_363968810_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
hii inanikula sana kichwa...
yaani siamini kama kweli kizazi chetu ndo wajinga hivi? wameanza lini kuwa wajinga wakati sisi wazazi wao vipanga?

serikali inajitahidi kudidimiza elimu ili waendelee kututawala. wanajua wakiboresha elimu kila mtu ataelimika kwahiyo itakuwa ngumu kuendelea kutudanganya huku wao wakiishi na watoto wao kama wako peponi.

mi buheri binam hofu kwako.
 
Hahahahaah lol! Binti Mrembo mwenye maringo akutolee nje bomu umtumie BAK!? Ni aje Mkuu zumbemkuu!? Sasa ndiyo hapo bomu litarudi kwako na kukulipua wewe na kila kitu nyumbani kwako pamoja na panya na sisimizi lol!

atajua mwenyewe mwenye zawadi yake
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaah lol! Binti Mrembo mwenye maringo akutolee nje bomu umtumie BAK!? Ni aje Mkuu zumbemkuu!? Sasa ndiyo hapo bomu litarudi kwako na kukulipua wewe na kila kitu nyumbani kwako pamoja na panya na sisimizi lol!
halafu unajua nimempokea Yes?
cc. FP , Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Elimu yetu imeshaingiliwa na siasa uchwara. Ndo inaangamia. Taifa linaendelea kuzalisha wajinga
Hapo kwenye Red, kwa kweli inauma sanaaaaa, ikizingatiwa wenzetu wanakimbia sisi hata kutambaa hatuwezi? watu wamekalia ufisadiiii tu , na si maendeleo ya wananchi. Na pia tuangalie na tuchukue hatua tusifanye ujinga tena ifikapo 2015.
 
Back
Top Bottom