everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
na we ulikubali hizo mbinu zikitumiwa unatoa mzigo bila kuongwa!??
Wapo wanaopenda money na wapo wanaopenda love,ila hata huyo anaependa money wewe kama kidume unayejiamini unaweza ukammiliki na ukashangaa yeye ndo anakuhonga wewe.