Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

Hahhha limekukuta nini asee... unaongea kwa hisia hadi basi!!! sio wote lakini lol....

Halijanikuta wala nini nimeeleza tu hali halisi ya uzi huu ulivyo,juzi tena kuna mtu mwingine aliyasema haya,juzi iile nyingine bonge la ile skendo yaani ni kero jamani!! Kama mlivyoanza kisiri malizaneni huko huko kisiri.
 
Usimpe tena

Jamani mbona hamna huruma?? Keshaliwa nyingi mno mpaka kidume kulilia humu jf ujue kaoshwa mpaka katakatika. Wazo langu tu, mdanganye aingie kwako, halafu piga yowe kuwa kakuibia sm yako unaomba msaada kwenda policcm.
Akikubali kwenda, hao majamaa ni maescroo watangulizie ten nyekundu. Watambambikizia kesi hiyo na kumtishia kuwa akifika kwa pilato analo la kujibu. Ka sivyo mkamalizane huko huko. Atalainika tu na ukim do once achana naye, atakufilisi. Ni wazo tu lakini
 
Halijanikuta wala nini nimeeleza tu hali halisi ya uzi huu ulivyo,juzi tena kuna mtu mwingine aliyasema haya,juzi iile nyingine bonge la ile skendo yaani ni kero jamani!! Kama mlivyoanza kisiri malizaneni huko huko kisiri.

mwenzio kavumilia kaona hamna, limemgusa sana... punguzeni mizinga jaman, watu hawatajenga sasa
 
Sasahivi wanaume humu mnakera sana yaani mwakutana PM mwaja kuweka hadharani jamani mmekuwa kama mademu tu mnakeraaaaa!!!!!! Si mmalizane huko huko PM mambo gani sasa haya.....aaaaarghhhhh!!

ni wewe NiNi Dada
 
mwenzio kavumilia kaona hamna, limemgusa sana... punguzeni mizinga jaman, watu hawatajenga sasa

Likimgusa alitapike huko huko PM...... Ai wewe mkono mtupu haulambwi lol,juzi lara 1 kawapa somo kupata bila ya kuhonga sijui mlimuelewa kweli.?......ukijiingiza kwa kuhonga utachunwa tu mpaka ngozi yako.
 
Last edited by a moderator:
siku hizi ukijichanganya tu Unaanzishiwa uzi nawaogopa watu wa humu kama tumbo la kuhara

kama nina shida bora nife na tai shingoni...

by the way umeombwa shingapi???

sio cheka time ya jero kweli
NINA WASIWASI
hahahah namshukuru Mungu i can manage my life,eat what i want,wear what i want
WANAUME MMEKUAJE JAMANI LOOOOH

mpaka umtangaze zamani sisi wanawake ndo tulikuwa tunatangazana sasa naona KIJITI MMEPOKEA NYINYI
 
Likimgusa alitapike huko huko PM...... Ai wewe mkono mtupu haulambwi lol,juzi lara 1 kawapa somo kupata bila ya kuhonga sijui mlimuelewa kweli.?......ukijiingiza kwa kuhonga utachunwa tu mpaka ngozi yako.

mmh hilo somo lilinipita... lara 1, ukiirudia lecture yako nistue tafadhar
 
Last edited by a moderator:
Ukomeeee!!! Na alikuwa anafanya makusudi aone utamwanzishia uzi? Loh!!! Wanaume hamna vifua kabisaaaaa,ukitaka kula shurti nawe uliwe kidooogo ati!!!

Kwani wanawake huwa mnaliwa?
 
Ningekuwa najua kuuvuta uzi ningeuweka hapa sijui mimwite nani anisaidie kuuweka Tyta please assist...

na we ulikubali hizo mbinu zikitumiwa unatoa mzigo bila kuongwa!??
 
Last edited by a moderator:
Ni mimi ndiyo tatizo wapi? Mnakeraaaaa!! Leo nawachana live mmezidi kutoa mambo ya pm hadharani malizaneni huko huko mnatia aibu hamna vifua kabisaaaaa!!!!!

Tatizo Lipo Kwenye Mizinga:..Mbna Hajamtaja Hata Jina Yy Analalamika Mizinga Imezidi Tu kuna Ubaya Kwan?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom