Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

Mapenzi gani haya kutoana upepo kila siku

siku hizi ukijichanganya tu Unaanzishiwa uzi nawaogopa watu wa humu kama tumbo la kuhara

kama nina shida bora nife na tai shingoni...

by the way umeombwa shingapi???

sio cheka time ya jero kweli
NINA WASIWASI
hahahah namshukuru Mungu i can manage my life,eat what i want,wear what i want
WANAUME MMEKUAJE JAMANI LOOOOH

mpaka umtangaze zamani sisi wanawake ndo tulikuwa tunatangazana sasa naona KIJITI MMEPOKEA NYINYI

Cc Superbrand

Teh teh teh teh
 
wanaume siku hizi ni udomo zege, umbea, ujinga au akili zenu zimezidi utegemezi mmfyuuuuuuuuuuu mnakera sana we mleta mada si umekutana na mpiga mizinga wako PM kinachosababisha usiyamalize uko uko nini adi uje kutangaza uku?? afu ukute ela huna labda mdada wa watu iko ki ef5 unachompa kwa wiki nzima ndo unaona umetooooa ela kama huwezi waachie wanaoweza ebooo
 
siku hizi ukijichanganya tu Unaanzishiwa uzi nawaogopa watu wa humu kama tumbo la kuhara



kama nina shida bora nife na tai shingoni...



by the way umeombwa shingapi???



sio cheka time ya jero kweli

NINA WASIWASI

hahahah namshukuru Mungu i can manage my life,eat what i want,wear what i want

WANAUME MMEKUAJE JAMANI LOOOOH



mpaka umtangaze zamani sisi wanawake ndo tulikuwa tunatangazana sasa naona KIJITI MMEPOKEA NYINYI


Hata mimi inaniuna kuona hatuwezi kuwa wasiri tena. Lakini pia kuna tatizo tu, inawezekana hata nyie wanawake kuna vitu mmezidi ndio maana vijana wanashindwa kujizuia. Mmekuwa waongo kupitiliza, mnapiga mizinga ya atomic, mna multiple partners yaani mmekosa uaminifu. Vijana wadogo wamechoka..jiangalieni Jamani...!
 
Ukwel siku zote unauma vp umgeuze mwanaume kama baba yako mzazi inahusu :what::what: jishughulisheni siyo kutegemea wanaume tu kusaidiana kupo lakini kusizidi kipimo wahenga wanasema wema usizid uwezo
 
Never happen in Tanganyika....wakula kisamvu wa kisamvu tu akibadilisha mboga mapupu na mabandama....we chezea mademu wanachuna hao uchelewi kuambiwa...baby..baby...mi nkila ugali haupiti kooni...hila nkiwa nakula kila siku chips kuku mzima nalala nakuota...

Kuhonga mnapenda nyie wenyewe
 
Hata mimi inaniuna kuona hatuwezi kuwa wasiri tena. Lakini pia kuna tatizo tu, inawezekana hata nyie wanawake kuna vitu mmezidi ndio maana vijana wanashindwa kujizuia. Mmekuwa waongo kupitiliza, mnapiga mizinga ya atomic, mna multiple partners yaani mmekosa uaminifu. Vijana wadogo wamechoka..jiangalieni Jamani...!

hata ukiwa na vidole sita unakuja kutangazwa
mama zetu tu ndo wakuwapa siri zao
alafu hili ni tatizo am telling you unaeza ukawa na mpenzi wako ana tatizo anaogopa hata kisema lolote maana anahisi utamtangaza kwa mfano jf....
so mtu anakufa na tai shingoni tu...kuhusu mizinga silijui hilo MAANA SIPIGAGI I GOT MY LIFE
naongelea matatizo madogo madogo ya mahusiano
 
Kwa wadau
waliopo makini mnakumbuka niliposti kuwa natafuta Mchumba wiki chache
zilizopita yaliyonitokea nimepata Msichana mrembo amejaliwa akani PM
tukaonana, ila Msichana anakunywa sana Pombe kutoka siku tuliyokutana
mpaka leo hii sijui ni kunikomoa.

achana nae kwanza ni aibu mwanake na pombe. bora kakuonesha mapema tabia yake. au mpe somo aache kama unazan ataweza
 
Ndio ....ni moja ya adventure.... Naenda sana kuonga coz sitaki mwanamke awe na mitazamo tofauti na Mimi...napenda kumtrain life nnalotaka kuishi.

Ok vizuri sana lakini msilalamike basi wakiwaomba maana wanawake sometime ni kama watoto ukimzoesha hela anazoea hela....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom