Mapenz ya whatsapp..

Tena wewe usiongee kabisaa,umenichomesha mahindi mie

Naona kidijitali tunazinguana, ntarudia enzi zile za zamani nilivyokuwa nikifika kwenu narusha mawe juu ya bati ili ujue nakusubiri..
 
Naona kidijitali tunazinguana, ntarudia enzi zile za zamani nilivyokuwa nikifika kwenu narusha mawe juu ya bati ili ujue nakusubiri..

Una hamu ya kulala post nahisi
 
Zikishaliwaga hizo.. unakuta mtu kimyaaa!!! Kaz inakuwa kutafuta bunduki kumfyotoa tu. Jamani walimwengu tuna kazi hasa ME
 
we mkali asee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…