Mapenz ya whatsapp..

Mapenz ya whatsapp..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
MAPENZI KWA HISANI YA WHATSAPP...CHEZEA
WEYE

MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm)

MDADA: (last seen at 11:46pm)

MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm)

MDADA: (last seen at 11:52pm)

MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am)

MDADA: (last seen at 00:01am)

MKAKA: Ok usiku mwema baby, nilitaka2 kukwambia tu kuwa zile pesa nilizokwambia nilikuwa nadai nimepata. Nimeweka pembeni laki tano kwa ajili ya shopping yako ya Krismas, naona hujibu kwa hiyo bye baby…… (00:01 am)

MDADA: (typing): Ohh! Hi dear... Actually nilikuwa
na mom nikawa nashindwa kukujibu ... wow darling najua roho yako sasa imetulia umelipwa deni lako.. I love you a lot... Unataka twende shopping saa ngapi? (00:05am)

MKAKA: (last seen 00:06am)

MDADA: Baby nijibu basi, nijibu nijue muda gani
nijitayarishe, nijibu betry yangu inaisha chaji baby,
nijibu sasa hivi (00:08am)

MKAKA: (last seen 00:09am)

MDADA: Naweka simu kwenye chaji dakika mbili
baby (00:10am)

MKAKA: (last seen 00:12am)

MDADA: Babes, najua nilikwambia usiwe unanipigia simu baada ya saa mbili usiku, lakini piga tu mom ameshalala (00:25)

MDADA: (typing): Ok, najua umelala ntakupigia
asubuhi. Na kesho kama unaweza kuja njoo tu mom anaenda kumtembelea rafiki yake mi ntakuwa alone siku nzima G9t baby miss you (00:30am)

MKAKA: (last seen 00:32)
 
Hehehehee,,,,,laki 5???kwa ajili ya hawara????haya bhana we r differ
 
Back
Top Bottom