Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

CCM ebu tuwekeeni hapo Muhongo ili murudishe imani kwa wananchi huyu Majaliwa ni home boy kabisa na ni Mbunge wangu lakini kwa maendeleo mapana ya Taifa hili nataka awe Muhongo na hili nilisgasema hata kwa my home Rais aliyefanyiwa fitna na wachaga kipenzi cha Watanzania Mh. Membe alipoingia 5 bora na Magufuli nikasema kwa ajili ta nchi yangu bora apewe Magufuli.
 
Muhongo angekuwa mzuri lakini naona hawatawezana kwa kuwa wote ni wajuaji. Mwigulu could be the right choice kama wangekuwa na utaratibu wa kugroom viongozi ................!! January is not tough!!


Lakini kwa uzoefu wangu na CCM tegemea mtu anayeifahamu serikali vizuri. Magufuri amekuwa Waziri kwa miaka 15 lakini sidhani kama anaijua serikali vizuri. Hivyo lazima apandikiziwe mtu .... na huyo mtu ni Lukuvi!!!

Lukuvi hana elimu ya kutosha halafu ni fanatic wa ccm. Rais Magufuli amesema yeye siyo rais wa ccm bali rais wa Tanzania.
 
Kwa jinsi mwelekeo unavyoonekana kuwa umepotea kama taifa, hata kama watamuweka Livingstone Lusinde ni sawa tuu maana jina likija wabunge wa ccm watampa kura za kishindo kwa sababu ni mwenzao.
 
Magufuli kufuata nyayo za mkapa waziri mkuu wake atakuwa mtu kama sumaye unakuwa na waziri mkuu ambaye hawezi kukuoutsmart km ilivyotokea kwa babu chodo
 
Waziri mkuu wa awamu ya tano anatarajiwa kutangazwa muda si mrefu huku jina hili la DPP na aliyewahi kuwa balozi nchini Zimbwabwe...likilindimwa moyoni mwa wanausalama.

mwenye cv yake please atuwekeee.
 
mwaka huu SIO WA KUTABIRI
mlitujazia nyuzi za EDO MMEONa yaliyojiri

mkatujazia nyuzi za SITA
mmeona yaliyojiri

mkatujazia za Dr Tulia yakajiri yaliyojiri
NAAM anaweza asiwe kati ya hao uliowataja
 
Ndiyo siasa zetu bongo hizo,na ukitaka kuonekana kiongozi wa upinzani mzuri basi we muda wote we eleza matatizo ya chama tawala tu.

hiyo ndio sifa ya upinzani kueleza matatizo na mapungufu ya chama tawala ili wairekebishe tofauti na matusi na kukandamiza na uonevu. hapo huko sawa
 
Huyu mwigulu ni mwehu flani hivi!!
Anafaa kwa huu muda tuliopo.

Hivi kumbe JPM ana-limited choices kiasi hiki. Itakuwa vema atazame nje ya hawa. Hapo hakuna credible person kwani wote wanahistoria chafu. Ila kwa vile CCM ni ileile ni vigumu kutabiri. Unaweza sikia mtu wa hovyo kama Makamba anatajwa.
 
Back
Top Bottom