Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Hii mambo ya Filikunjombe na Nchemba ina ukakasi hasa ukifuatilia kifo chake kwa jicho makini.
 
mwamajinja mapunga umeongea kiunafki sana. Ngamanya ndesi uteligwe nani. Eti wanyakyusa wanampigia chapuo mwakyembe huo ni uongo tena wa kinafki.
 
Last edited by a moderator:
Mawaziri wakuu wamekuwa wanatuangusha sana. Nimesikia habari za Sokoine, lakini hawa niliowaona pumba kabisa. Sihitaji kufuatilia kuhusu nafasi hii; Kama waziri mkuu anashindwa kutatua migomo ya watumishi wa umma mpaka watu wakafa, ana kazi ipi ataweza?!
 
Yaani juzi alikuwa kada mkuu na cheo ndani ya chama leo apewe Uwaziri Mkuu kabisa hiyo bias ya chama chake ataiacha vipi??!!!

Akae kwenye chama huko ndiko alikowekeza zaid. . . .Serikali haitaki mtu biased
 
Hata wangemchagua Ritz kwangu sioni shida kwa sababu ccm ni wale waleee lakini chonde chonde rais wetu usimchague Mwingulu tu. Hana sifa yeyote hata kisomo chake ni cha kuungaunga. Hata January anampiku kwani anavaa miwani
 
Anjelina Mabula mbunge wa Ilemela, yule mama kwakweli yupo vizuri sana na anafiti kwenye uwaziri mkuu haswaa!
 
Hujui chochote
Nyamaza mwana ukawa


Kama unamuogopa vile,una hubiri huna chuki report yako imejaa unafiki kama umetumwa,Bahati mbaya mawazo yako wala hayatachangia mabadiriko yeyote kama imeandikwa hivyo au vinginevyo zaidi ya kujaza server ya JF, Fanya kazi ujenge familia yako biased one...
 
1. Dr. Harrison Mwakyembe
2. Sospeter Muhongo
3. William Lukuvi
4. Kassim Majaliwa
5. Mwigulu Nchemba
Kitu kimojawapo kinachonipa imani kuwa Mh. Magufuli anaiwezea kazi yake ni hii kuwa hadi leo bado haijajulikana kuwa nani atakuwa waziri mkuu....! Tofauti na ilivyokuwa kwa Kikwete 2005....!
 
Kwa mara nyingine nakuunga mkono kuwa mwigulu kama ilivyo kwa wengine wachache sana ndani ya bunge, anafaa. Huyu nilimheshimu kwenye bunge la katiba na kwa kweli ana uzalendo, ukiacha vijembe kwa wapinzani wake.

Nami naunga mkono kabisa Mwigulu Nchemba awe Waziri Mkuu. Huyu ni baadhi ya wazalendo wachache waliobaki.
 
Back
Top Bottom