WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...hasa nafasi zilizo wazi kwenye mapendekezo haya:
1. OFISI YA RAIS |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) |
Ndugu George Mkuchika |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (UTUMISHI) |
Ndugu Celina Kombani |
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO) |
Ndugu Samia H. Suluhu |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA) |
Dr. Terezya P.L. Huvisa |
Ndugu Charles Kitwanga |
3. OFISI YA WAZIRI MKUU |
WAZIRI MKUU: Dr. Harrison Mwakyembe |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) |
Ndugu Mary M. Nagu |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) |
Ndugu Hawa Ghasia |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge) |
Ndugu William V. Lukuvi |
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa |
Ndugu Aggrey Mwanry |
4. WIZARA |
Wizara Ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki |
Waziri: Ndugu Samuel J. Sitta |
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa |
Wizara Ya Ujenzi |
Waziri: Dr. John P. Magufuli |
Wizara Ya Afya na Ustawi wa Jamii |
Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
Wizara: Dr. Shukuru J. Kawawa |
Wizara Ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto |
Waziri: Ndugu Sophia M. Sia |
Wizara Ya Mao ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa |
Waziri: Ndugu Bernard K. Membe |
Wizara ya Katiba na Sheria |
Waziri: Ndugu Mathias M. Chikawe |
Wizara Ya Mao ya Ndani ya Nchi |
Wizara Ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Wizara Ya Kazi na Ajira |
Waziri: Ndugu Gaudentia M. Kabaka |
Wizara Ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia |
Wizara Ya Ardhi Nyua na Maendeleo ya Makazi |
Waziri: Prof. Anna K. Tibaijuka |
Wizara ya Maji |
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum |
Prof. Mark Mwandosya |
Wizara Ya Kilimo Chakula na Ushirika |
Waziri: Eng. Christopher Chiza |
Wizara Ya Uchukuzi |
Waziri: |
Wizara Ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo |
Waziri: Dr. Fenella E. Mukangara |
Wizara Ya Maliasili na Utalii |
Wizara Ya Viwanda na Biashara |
Waziri: Dr. Abdallah O. Kigoda |
Wizara ya Fedha |
Wizara ya Nishati na Madini |
Waziri: Prof. Sospeter Muhongo |