Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

Hii ni udini wa kijinga kabisa! Mtoa mada ameacha nafasi wengine nao wataje. Kama una mujahidina wako unayeona ana vigezo, andika jina lake, alichoandika mwenzio ni mawazo yake nawe toa ya kwako...
Shingo kuangalia upande mmoja tu ndiyo udini wa kijanja?
 
Baraza kama ili, kwa kuwa uwaziri sio mzigo...basi rais awafungulie na collage yao, wakitoka jioni wanaigia collage kufundisha...ivi kuongoza ni kusoma heee???unamuonea mzee ruksa ambaye phd haijui...

May be uongeze na hawa
1. Saada mkuya
2. Luhaga mpina
3. Kangi lugola---ulinzi na usalama
4. Asha migiro....utawala bora
5. Zitto kabwe....fedha

ondoa
lowasa
mrema
prof.ana
 
mwacheni Mrema apumzike. Kazi yake alimaliza na historia yake imekwisha andikwa. Hivi hamuwaoni kina Zitto, Mwigulu,mama Hewa na Matata(home affairs)
 
Ni kweli usiopingika ila jambo la msingi la kujiuliza kipi bora tukampa mtu ambae na weledi na taaluma ya kazi anayo isimamia au mwenye kipaji cha uongozi.

Kumwajibisha mtu mwenye taaluma yake ni rahisi kuliko asiyenayo....ndiko hasa mlengo wa hoja yangu ulipo kuwa
 
Naheshimu mawazo yako ila haujazingatia sera za kila chama,

kwa katiba ya sasa labda waweke kipengele cha raisi akiwa chama tawala basi waziri mkuu awe chama cha pili kwa wingi wa kura.
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...hasa nafasi zilizo wazi kwenye mapendekezo haya:

[TABLE="width: 437"]
[TR]
[TD]1. OFISI YA RAIS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu George Mkuchika [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (UTUMISHI)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Celina Kombani [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Samia H. Suluhu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dr. Terezya P.L. Huvisa [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Charles Kitwanga [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
3. OFISI YA WAZIRI MKUU[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WAZIRI MKUU: Dr. Harrison Mwakyembe [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Mary M. Nagu [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Hawa Ghasia [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu William V. Lukuvi [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Majaliwa K. Majaliwa [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ndugu Aggrey Mwanry [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

4. WIZARA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Wizara Ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Ndugu Samuel J. Sitta [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Ujenzi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Dr. John P. Magufuli [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Afya na Ustawi wa Jamii[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wizara: Dr. Shukuru J. Kawawa [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Ndugu Sophia M. Sia [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Mao ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Ndugu Bernard K. Membe [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara ya Katiba na Sheria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Ndugu Mathias M. Chikawe [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Mao ya Ndani ya Nchi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Kazi na Ajira[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Ndugu Gaudentia M. Kabaka [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Ardhi Nyua na Maendeleo ya Makazi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Prof. Anna K. Tibaijuka [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara ya Maji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Prof. Mark Mwandosya [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Kilimo Chakula na Ushirika[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Eng. Christopher Chiza [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wizara Ya Uchukuzi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Dr. Fenella E. Mukangara [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Maliasili na Utalii[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara Ya Viwanda na Biashara[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Dr. Abdallah O. Kigoda [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara ya Fedha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
Wizara ya Nishati na Madini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Waziri: Prof. Sospeter Muhongo [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Unapopendekeza mabadiliko ya waziri mkuu kuna kikao cha bunge kinachoendelea kitakachomuidhinisha?
 
Marekebisho kwenye mapengo
Tamisemi – Dr. Asha Rose Migiro

Waziri wa Ulinzi – Dr. Shukuru Kawambwa
Maliasili na Utalii- James Lembeli (Alishawahi kuwa mtumishi wa Tanapa)
Wizara ya Elimu – Hawa Ghasia
Wizara ya Mifugo – Ole Sendeka
Mambo ya Ndani - Pereira Silima (Wizara ya muungano)
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...

[TABLE="width: 549"]
[TR]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD] John Magufuli[/TD]
[TD] Waziri Mkuu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD] Sospeter Muhongo
[/TD]
[TD] Nishati Na Madini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD] Samuel Sitta[/TD]
[TD] Waziri wa Sheria na Katiba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD] Edward Lowassa
[/TD]
[TD]Waziri TAMISEMI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5[/TD]
[TD]Prof Kuzilwa (Mzumbe University)[/TD]
[TD] Wizara ya fedha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]6[/TD]
[TD] Dr.Harrison Mwakyembe[/TD]
[TD]Uchukuzi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]7[/TD]
[TD] Mrema Lyatonga Augustino[/TD]
[TD]Waziri Mambo ya Ndani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD] Prof. A.W .Mayo (UDSM)[/TD]
[TD]Wizara ya maji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]9[/TD]
[TD] Prof Ninatubu Lema[/TD]
[TD]Wizara mambo ya nje[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]10[/TD]
[TD] Anna Tibaijuka[/TD]
[TD]wizara ya nyumba na makazi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]11[/TD]
[TD] Prof. Dr. Kallunde P. S (SUA)[/TD]
[TD]Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Orodha hii indelezwe..


Hapa mimi napendekeza wale mawaziri na Makatibu wakuu wa kuwekwa pembeni:
1.Shukuru Kawambwa(Elimu).
Sababu:
(a) Aliridhia mabadiliko ya alama za ufaulu wa madaraja ya kidato cha sita na nne bila kufanya utafiti katika nchi nyingine kwa lengo la kuwahadaa wananchi kama watoto wamefaulu kumbe sivyo.
Athari:
(i)Wanafunzi watakosa ajira kataika mashirika na makampuni binafsi kwa sababu inajulikana uwezo wao kitaaluma ni hafifu.
(ii)Kupata wataalamu wasio na sifa sitahiki na kisha kuleta athari kwa jamii na hasara kwa taifa pale miradi,au kazi zitapofanywa chini ya kiwango.
(iii)Maumivu ya kisaikolojia kwa wanafunzi waliomaliza miaka iliyopita wenye alama sawa na wenzao waliopewa na alama za upendeleo.
(iv)Kuvunja moyo walimu kufanya kazi au kuwafanya wazembee kazi kwani wanajua serikali ndiyo itawapa wanafunzi matokeo mazuri
(v)Kuwafanya wanafunzi wabweteke na kuacha kusoma.
2.Mathayo D, Mathayo(Mifugo)
Sababu:
(a) Alishindwa kutoa mapendekezo namna bora ya namna wakulima na wafugaji wanaweza kuishi vizuri bila kuuana na ugomvi
(b)Alishindwa kupendekeza kama baadhi ya wanyama pori kama vile pundamilia wana weza kuchangia malisho mpaka alipotakiwa kujihudhuru ndiyo akatoa wazo hilo
(c)Aliruhusu makundi ya mifugo ya wahamiaji kuingia nchini bila kuchukua hatua.
Athari:
(i)Mauaji na ugonvi usiokoma kati ya wakulima na wafugaji
(ii)Wanachi wengi kupata hasara katika kipindi cha operation tokomeza ujangiri kwa kuuawa kwa mifugo yao.
3. Mizengo Pinda (Waziri Mkuu)
Sababu:
(a)Ameshindwa kusimamia mawaziri wake mpaka rais anapata usumbufu wa kubadilisha mawaziri mara kwa mara
(b) Ubadhirifu mkubwa katika halmashauri eneo amabalo yeye anasimamia
(c)Alishindwa kutoa maelezo ya kina kwanini asiwajibike kisiasa kwa kushindwa kuwasimamia mawaziri wake.
(d)Kimantiki,kosa lake halitofautiani na mawaziri wale waliofukuzwa uwaziri(political responsibility)
Athari:
(i)Hasara kwa taifa kwa kutokamilika kwa miradi ya serikali
(ii)Gharama ya uteuzi wa mawaziri wapya
(iii)Wananchi kukosa imani na serikali yao
4.Makatibu wakuu wote wa wizara hizi pia wanatakiwa kuachia ngazi kwakushindwa kutoa ushauri wa kitaalamu
 
Marekebisho kwenye mapengo
Tamisemi – Dr. Asha Rose Migiro

Waziri wa Ulinzi – Dr. Shukuru Kawambwa
Maliasili na Utalii- James Lembeli (Alishawahi kuwa mtumishi wa Tanapa)
Wizara ya Elimu – Hawa Ghasia
Wizara ya Mifugo – Ole Sendeka
Mambo ya Ndani - Pereira Silima (Wizara ya muungano)

Hii imekaa vizuri sana.
 
Back
Top Bottom