Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

Eng. D

Member
Jul 13, 2011
31
6
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...hasa nafasi zilizo wazi kwenye mapendekezo haya:


1. OFISI YA RAIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani


2. OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H. Suluhu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa
Ndugu Charles Kitwanga


3. OFISI YA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU: Dr. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi
Ndugu Majaliwa K. Majaliwa
Ndugu Aggrey Mwanry



4. WIZARA
Wizara Ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Waziri: Ndugu Samuel J. Sitta


Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa


Wizara Ya Ujenzi
Waziri: Dr. John P. Magufuli


Wizara Ya Afya na Ustawi wa Jamii


Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Wizara: Dr. Shukuru J. Kawawa


Wizara Ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
Waziri: Ndugu Sophia M. Sia


Wizara Ya Mao ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Waziri: Ndugu Bernard K. Membe


Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri: Ndugu Mathias M. Chikawe


Wizara Ya Mao ya Ndani ya Nchi


Wizara Ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi


Wizara Ya Kazi na Ajira
Waziri: Ndugu Gaudentia M. Kabaka


Wizara Ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia


Wizara Ya Ardhi Nyua na Maendeleo ya Makazi
Waziri: Prof. Anna K. Tibaijuka


Wizara ya Maji


Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
Prof. Mark Mwandosya


Wizara Ya Kilimo Chakula na Ushirika
Waziri: Eng. Christopher Chiza
Wizara Ya Uchukuzi
Waziri:


Wizara Ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo
Waziri: Dr. Fenella E. Mukangara


Wizara Ya Maliasili na Utalii


Wizara Ya Viwanda na Biashara
Waziri: Dr. Abdallah O. Kigoda


Wizara ya Fedha


Wizara ya Nishati na Madini
Waziri: Prof. Sospeter Muhongo
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...

1
John Magufuli
Waziri Mkuu
2
Sospeter Muhongo

Nishati Na Madini
3
Samuel Sitta
Waziri wa Sheria na Katiba
4
Edward Lowassa

Waziri TAMISEMI
5
Prof Kuzilwa (Mzumbe University)
Wizara ya fedha
6
Dr.Harrison Mwakyembe
Uchukuzi
7
Mrema Lyatonga Augustino
Waziri Mambo ya Ndani
8
Prof. A.W .Mayo (UDSM)
Wizara ya maji
9
Prof Ninatubu Lema
Wizara mambo ya nje
10
Anna Tibaijuka
wizara ya nyumba na makazi
11
Prof. Dr. Kallunde P. S (SUA)
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Orodha hii indelezwe..
Ni baraza la mawaziri au ni kigango?
 
Wote hawafai wameshindwa kutimiza wajibu wao wengine walishatemwa kabla wa nini sasa? Na hao maprofesa wa vyuo ndo hamna kitu kabisa wanazo akili za kufundishia lakini sio kutatua kero za wananchi kivitendo. Tulishakuwa na wengi kina Prof. Kapuya, Prof. Msolla, prof. Magembe, prof. Mwakyusa, Dr. Kamara, Dr. Kawambwa n.k hamna walichotufanyia na usomi wao wote
 
Wote hawafai wameshindwa kutimiza wajibu wao wengine walishatemwa kabla wa nini sasa? Na hao maprofesa wa vyuo ndo hamna kitu kabisa wanazo akili za kufundishia lakini sio kutatua kero za wananchi kivitendo. Tulishakuwa na wengi kina Prof. Kapuya, Prof. Msolla, prof. Magembe, prof. Mwakyusa, Dr. Kamara, Dr. Kawambwa n.k hamna walichotufanyia na usomi wao wote
Ongezea na hao...dk nagu, dk mwakyembe , dr kikwete, dk mzindakaya, dk mwinyi nimesikia mkapa nae ni dk sijui kama ni kweli..ongezea tuuu dk mkapa
 
Hiyo Orodha bila kuwepo Asha Rose Migiro ni fake ! ujasoma bado muelekeo wa baraza litakuwaje ?
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...

1
John Magufuli
Waziri Mkuu
2
Sospeter Muhongo

Nishati Na Madini
3
Samuel Sitta
Waziri wa Sheria na Katiba
4
Edward Lowassa

Waziri TAMISEMI
5
Prof Kuzilwa (Mzumbe University)
Wizara ya fedha
6
Dr.Harrison Mwakyembe
Uchukuzi
7
Mrema Lyatonga Augustino
Waziri Mambo ya Ndani
8
Prof. A.W .Mayo (UDSM)
Wizara ya maji
9
Prof Ninatubu Lema
Wizara mambo ya nje
10
Anna Tibaijuka
wizara ya nyumba na makazi
11
Prof. Dr. Kallunde P. S (SUA)
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Orodha hii indelezwe..

Mkuu Eng D ninaomba swala la uprofessor liweke pembeni kabisa. These people with their tittle cannot deliver at all. They should stay where they are. These are the people with theoretical experience and it is very unfortunate they cannot put their theory knowledge into practice, what a pity!!!
 
Kwa akili yako unadhani ma-Dr. na ma-Prof ndio wanaoweza ku-deliver; not in this country my friend. Maana naona orodha yako ni ma-Dr. na ma-Prof. watupu isipokuwa Lowassa na Sitta; you're absolutely wrong!
 
Huyu limbukeni anafikiri uprofesa ndiyo uwezo wa kuongoza? fake cabinet.
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...

1 John Magufuli Waziri Mkuu
2 Sospeter Muhongo

Nishati Na Madini
3 Samuel Sitta Waziri wa Sheria na Katiba
4 Edward Lowassa

Waziri TAMISEMI
5Prof Kuzilwa (Mzumbe University) Wizara ya fedha
6 Dr.Harrison MwakyembeUchukuzi
7 Mrema Lyatonga AugustinoWaziri Mambo ya Ndani
8 Prof. A.W .Mayo (UDSM)Wizara ya maji
9 Prof Ninatubu LemaWizara mambo ya nje
10 Anna Tibaijuka wizara ya nyumba na makazi
11 Prof. Dr. Kallunde P. S (SUA)Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Orodha hii indelezwe..
kwani tunachagua wazee wa kanisa?
 
weka na hawa hapa prof maji marefu, dr.lusinde na prof rameck Airo.mbunge wa ccm am aye hatapata uwaziri wakati huu wa kikwete ana kila sababu ya kwenda kwa sangoma kuondoa gundu.
 
Kuna uwezekano nchimbi kuwa naibu katibu mkuu wa ccm huku mwigulu akikamata wizara.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom