Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

Masilingi arudishwe apewe waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora,mjuni kataraiha aundiwe wiraza mpya ya uhalishaji wa unywaji wa gongo.
 
WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...

[TABLE="width: 549"]
[TR]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD] John Magufuli[/TD]
[TD] Waziri Mkuu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD] Sospeter Muhongo
[/TD]
[TD] Nishati Na Madini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]3[/TD]
[TD] Samuel Sitta[/TD]
[TD] Waziri wa Sheria na Katiba[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]4[/TD]
[TD] Edward Lowassa
[/TD]
[TD]Waziri TAMISEMI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]5[/TD]
[TD]Prof Kuzilwa (Mzumbe University)[/TD]
[TD] Wizara ya fedha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]6[/TD]
[TD] Dr.Harrison Mwakyembe[/TD]
[TD]Uchukuzi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]7[/TD]
[TD] Mrema Lyatonga Augustino[/TD]
[TD]Waziri Mambo ya Ndani[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]8[/TD]
[TD] Prof. A.W .Mayo (UDSM)[/TD]
[TD]Wizara ya maji[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]9[/TD]
[TD] Prof Ninatubu Lema[/TD]
[TD]Wizara mambo ya nje[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]10[/TD]
[TD] Anna Tibaijuka[/TD]
[TD]wizara ya nyumba na makazi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]11[/TD]
[TD] Prof. Dr. Kallunde P. S (SUA)[/TD]
[TD]Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Orodha hii indelezwe..

Mara nyingi Mambo ya nje hupewa mtu kwa ajili ya kumpa exposure ya kugombea urais haitolewi tu hovyohovyo
 
Muhimu sana ni kuwa na mawaziri ambao hawana majimbo ili washughulikie NCHI (badala ya kuhangaikia KURA). Mawaziri wa nanmna hii watawajibika kwa WANANCHI, kupitia Bunge lao. Mara baada ya kuteuliwa, mteule anakuwa mbunge wa kuteuliwa automatically.
 
wapenda maendeleo tumsaidie raisi wetu kwa kumpa mapendekezo yetu ...

[table="width: 549"]
[tr]
[td="align: Right"]1[/td]
[td] john magufuli[/td]
[td] waziri mkuu--abaki ujenzi[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]2[/td]
[td] sospeter muhongo
[/td]
[td] nishati na madini[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]3[/td]
[td] samuel sitta[/td]
[td] waziri wa sheria na katiba[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]4[/td]
[td] edward lowassa
[/td]
[td]waziri tamisemi--hafai kabisa[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]5[/td]
[td]prof kuzilwa (mzumbe university)[/td]
[td] wizara ya fedha[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]6[/td]
[td] dr.harrison mwakyembe[/td]
[td]uchukuzi--anafaa kuwa waziri mkuu[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]7[/td]
[td] mrema lyatonga augustino[/td]
[td]waziri mambo ya ndani--hizi ni ndoto za abunuwasi; acha utani uwe serious kidogo[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]8[/td]
[td] prof. A.w .mayo (udsm)[/td]
[td]wizara ya maji[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]9[/td]
[td] prof ninatubu lema[/td]
[td]wizara mambo ya nje; membe bado anaweza sana hapa[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]10[/td]
[td] anna tibaijuka[/td]
[td]wizara ya nyumba na makazi[/td]
[/tr]
[tr]
[td="align: Right"]11[/td]
[td] prof. Dr. Kallunde p. S (sua)[/td]
[td]wizara ya kilimo, chakula na u[url="http://www.saahiihii.com/?lang=lth&section=production&businessno=7273"]shirika[/url][/td]
[/tr]
[/table]
orodha hii indelezwe..

asharose migiro apewe wizara ya elimu au fedha, mambo ya ndani ya nchi
 
Wizara ya wanyama,mito, miti, wadudu, ndege-ANNA KILANGO mama katumika sana!
 
Masilingi arudishwe apewe waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora,mjuni kataraiha aundiwe wiraza mpya ya uhalishaji wa unywaji wa gongo.

Masilingi hana mbavu akae hapo alipo baada ya kupiga magoti na kupewe ...............
 
Boss soma nyakati kwani muhongo ametokea jimbo gani?
 
kweli tutafika na hii kwa hiyo tutajie rahisi ajae?
 
Ongezea Anna kilango, Beatrice shellukindo, profesa Baregu.....
 
asharose migiro apewe wizara ya elimu au fedha, mambo ya ndani ya nchi

...hii mambo ya 'kuwapa' watu Wizara ndio inayotudidimiza. Utamaduni wa KUPEANA, mambo ya 'AMEULA' ifike wakati yasahaulike ... including SHEREHE na MASHADA siku ya kuapishwa. Haingii akilini askari anaepewa ukamanda wa kuongoza vita dhidi ya umaskini anafanya sherehe ya 'kushangilia' kukabidhiwa jukumu la ukamanda kwenye eneo fulani, ni Tanzania tu. Na matokeo yake ndio haya.
 
Nakubaliana na wewe tubadilishe jina la nchi basi liitwe kwa mujibu wa wasomi walipo.

Hii ni udini wa kijinga kabisa! Mtoa mada ameacha nafasi wengine nao wataje. Kama una mujahidina wako unayeona ana vigezo, andika jina lake, alichoandika mwenzio ni mawazo yake nawe toa ya kwako...
 
MR. YUSUF MANJI - waziri wa viwanda na uwekezaji
 
Kuna gazeti limeandika kuwa duru za kisiasa zinawataja Dr. Asha Migiro, Mwigulu Nchemba, Dr. Hamis Kigwangala, Peter Serukamba, Anne Lilango Malecela, James Lembeli na wabunge wengine mwiba kwa CCM kama Kangi Lugola na Deo Filikunjombe.
 
Hahahahahahahhahahhahahahhahaa mbona muslim university of morogoro hujachukua hata msomi mmoja ndio mfumo gani huo ccm jamani???
 
Kaka kwa kuamini change ni mimin na wewe nilitaraji mapendekezo zaidi
 
Back
Top Bottom