Erythloblastosis
Member
- May 29, 2016
- 47
- 30
Tatizo kubwa linalotuponza Watanzania ni uvivu wa kufikiri unaoambatana na ushabiki potovu. Kama TRA wamekusanya Trillion 1.03 kutoka Trillion 1.35 ya mwezi January iweje tuone hayo ni Mafanikio ? Tatizo hapa nikuwa Serikali inatuambia kuwa hii nchi ni tajiri sana lakini makusanyo ya kodi yanarudi kule kule kwa awamu ya JK ambako wanadai kulikuwa na uzembe katika kukusanya kodi. Sasa hapa badala ya wananchi kuchukua tahadhali, wapo watu wanafanya ushabiki kwa kupotosha ukweli.