MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,027
- 35,065
Hama nchi sasaJipya unalo wewe, nimwendo wa kushuka tu au kuporomoka, nimeamini kikwete aliweza sana
Hama nchi sasaJipya unalo wewe, nimwendo wa kushuka tu au kuporomoka, nimeamini kikwete aliweza sana
Mnywa uji wa chumvi utamjua tuPOST ZA WANYWA VIROBA UTAZIJUA SASA HAPO NDO UMEONA UMEANDIKA.POINT...
VIJANA WA BAVICHA HAMNA JIPYA .
Kuishiwa hoja na uzuzuKuhama hoja ni ishara ya nini broo!
Hawrzi kupata kazi zaidi ya ya ile ya kupika chai lumumba kwani elimu yake ndiyo imeishia hapoHivi wewe Lizaboni ulitelekezwa na baba yako utotoni? Mbona hupati ukuu wa wilaya miaka nenda miaka rudi?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
za mwizi ni 40!Reality ipi tena? Reality si ndio hiyo mapato ta june 1.4 trl?
Dume zima na tapa? LoooooooHama nchi sasa
Hivi tania ya umalaya utaiacha lini?Dume zima na tapa? Looooooo
Huyo Zitto hakuna analojua zaidi ya usalitiMawazo ya watu kama Ztto Kabwe yanahitajika sana kuijenga Tanzania mpya. Lakini kamama kama kale bungeni kanamfungia Zitto.
TANIA?Hivi tania ya umalaya utaiacha lini?
Nasikia shughuli zako zimepigwa piniHivi tania ya umalaya utaiacha lini?
Kuna uzi mpya humu kuhusu mapato ya Juni. 1.4 trillions!Kumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
TRA YAVUKA LENGO LA MAKUSANYO YA KODI KWA MWEZI MEI 2016
![]()
MKamishna Mkuu wa TRA Bw. Alphayo Kidata akitilia mkazo jambo wakati wa kikao na waandishi wa habari kuhusu taarifa ya makusanyo ya mapato kwa mwezi Mei 2016,kilichofanyika katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro, Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo na kushoto ni Meneja wa Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Abdul Mapembe.
*******************
Asirudi kwa lipi?Harudii tena. Msamehe mkuu
Bali unahitaji utendaji kataKwani nani kakudanganya kuwa Lizaboni anahitaji ukuu wa wilaya?