Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Kwa kile kimbunga cha msimu cha utumbuaji sikujua kama kuna mtu anathubutu kuiba hata sindano, kumbe kuna watoto wa mjini bana kelele za milango haziwanyimi usingizi, mwezi may wamajilipa mishahara hewa bil 1.8, dah.
 
Kwa hakika mapato yamekuwa yakishuka tofauti na ilivyokuwa mwezi Novemba mwaka jana. Cha kushangaza, matumizi nayo yameanza kuwa ya hovyo, kwa mfano kutumia mamilioni ya shilingi kuimarisha ulinzi wa Tulia Akson kama kwamba tuko Somalia, je, huu sio ubadhirifu wa fedha za wavuja jasho?
 
Never compare numbers in your life...Compare proportions....

Usilinganishe namba hata siku moja utaishia kwenye hitimisho bovu kama hili mnalotaka kulazimishia...linganisha asilimia ....kwa wana takwimu wanalielewa hili.
Mkuu hoja ni kwamba mapato yanashuka....na muda si mrefu tutarudi kwenye bilioni 900 kwa kuwa Yale majigambo ya kukusanya sana hayakutokana na uwepo wa vyanzo vipya vya kodi bali ni kukusanya madeni tu.....vyanzo vya mapato vipya vya kupa
 

Mwez june mbona bado jaman ndo kwanza walitangaza ya mwez may hapo majuz ambapo walivuka lengo
 
Wewe zwa.zwa hapa yanazungumziwa matokeo ya June!
 
Ila propaganda zitaharibu nchi hii...wakati serikali ya awamu ya tano inaingia watu walijua kwamba nchi hii mapato mengi....ona sasa tuna rudi kwenye average yetu
 
Hali mbayaa ngoja baada ya July 1 ndio tutashuhudia uhalisia wa nchi yetu
Watu watalia njaa mno
 
Ni muda hajafokafoka sijui atafoka na Lipi akija
 
Hali mbayaa ngoja baada ya July 1 ndio tutashuhudia uhalisia wa nchi yetu
Watu watalia njaa mno
Kweli....nafikiri tangu Uhuru hii ni bajeti chungu kwa walala hoi hasa watumishi...posho zao nyingi zimekatwa....hivyo hata purchasing power yao itapungua,hii
 
Bajeti tuliyonayo ni ya Kikwete. Ya Magufuli itaanza tarehe 1 july 2016. Ukitaka kumpima Magufuli mpime kwenye makusanyo ya July mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…