Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Biashara nyingi zimefungwa au hazina mapato
 
POST ZA WANYWA VIROBA UTAZIJUA SASA HAPO NDO UMEONA UMEANDIKA.POINT...
VIJANA WA BAVICHA HAMNA JIPYA .
Lumumba mna shida kwani ukijibu kwa hoja hutapata posho mpaka ujibu kwa mipasho ya akina hadija kopa
 
Huyu hana lolote. Mlikua hamlipi kodi sasa mmebanwa mayowe kibao. Taratibu mtazoea kulipa kodi msijali, mbona kuna kipindi wa Tz tulikua hatuamini kama unaweza angalia tv kwa kulipia, lkn sasa aaa!! kiroho safi, tena unachagua mwenyewe. zuku, azam, continental, dstv n.k. Lkn pia kaka ni vema ukajua pia kwamba yale mapato ya mwanzo yalikua makubwa kwa kuwa ulilipa na ile kodi uliyokwepa kipindi cha Jk huyo unaemsifia baada ya JPM kukubaini, na madeni yako yameisha hivyo tegemea kweli mapato kushuka coz sasa unalipa ile halali sasa. Pole mkuu, ila uwe mzalendo.
 
Majibu yako hayaendani NAmada.....tun
 
Kwa kuwa nchi haina jipya...vyanzo vya kodi vilevile....hakuna kuvutia vyanzo vipya,lazima mapato yataendelea kuporomoka
 
Yatapanda,naona kwa mfano property tax wameikalia kooni,hiyo pekee itaingiza pesa nyingi sana
 
Wapiga dili wameanza tena kupiga dili. Wanadai wameshazoea mkwara wa mkulu. Si mnaona hata mawizarani milango na mageti hayafungwi ili kubana wachelewaji? Ile gesi ya kwenye soda imeisha. Watu wamerudi kwenye business as usual. Na hata zile fashion za safari za kustukiza hazipo tena.
Mapato yatashuka zaidi mpk kufikia billion 500 kwa mwezi. Maana naona kasi ya kufunga mabaa na mahoteli ni kubwa mno. Maduka ndo usiseme.
 
Kwani wewe unavyoelewa kuvuka malengo ni kupi? Nijuavyo mimi ni kwamba unavuka malengo pale ambapo umezidisha kile ulichojipangia. Kumbuka malengo ya TRA hayapangwi kienyeji kama mapato yenu pale Ufipa
Yanapangwa kisiasa na tuendeka mtabidili utaratibu itakuwa ni siri na sababu ya kufanya iwe siri hamtakosa.
 
Wapiga dili wameanza tena kupiga dili. Wanadai wameshazoea mkwara wa mkulu. Si mnaona hata mawizarani milango na mageti hayafungwi ili kubana wachelewaji? Ile gesi ya kwenye soda imeisha. Watu wamerudi kwenye business as usual. Na hata zile fashion za safari za kustukiza hazipo tena.
Mapato yatashuka zaidi mpk kufikia billion 500 kwa mwezi. Maana naona kasi ya kufunga mabaa na mahoteli ni kubwa mno. Maduka ndo usiseme.
Watu hawafati mzigo tena....wadada wa hotel wanatemeshwa Kazi balaa....hoteli zimeathirika sana....hata return za mwezi wa sita TRA zitakuwa za hovyo kuliko zote
 
Mkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
marehemu wa kujikomba haya diamond lete madawati wanajipangia 5000 halafu wanasema wamevuka maleno kwa kwi kwi wakurupukaji mutaenda mpaka bilioni 600 hamna maono wala akili za kuendesha uchumi
 
Yanapangwa kisiasa na tuendeka mtabidili utaratibu itakuwa ni siri na sababu ya kufanya iwe siri hamtakosa.

Ulitabiri mwezi Aprili kwamba siku itaposomwa bajeti ya Waziri wa Fedha itaonyeshwa "Live" na TBC1 isipokuwa kwa maswali na majibu.

Utabiri wako ulitiimia mwezi Juni kwa bajeti hiyo kuonyeshwa moja kwa moja.

Kwa mantiki hiyo wako huu kwa mara nyingine, si wakupuuzwa....
 
Ulitabiri mwezi Aprili kwamba siku itaposomwa bajeti ya Waziri wa Fedha itaonyeshwa "Live" pamoja na marufuku

iliyopigwa kuonyeshwa live na TBC, ila tu kwa maswali na majibu.Kwa utabiri wako huu tena, sioni haja ya kutokukuamini...
 
Hili la biashara kufa linanigusa kidogo hapo nilipita na pantoni nikienda kigamboni nikatupia macho shamba la meli mbele ya bomba la maji machafu hakuna meli kabisaaa sijajua nini tatizo!! Najua tunalenga uchumi wa viwanda lakini pia hatutaupata kwa kipindi kifupi hivi!! Mwl nyerere alifungua kiwanda cha cement tng nadhani 1980 hii ina maana alikua akijenga viwanda kidogokidogo na vimeyuka kwa kufumba na kufumbua!! kiukweli safari yetu ni ngumu na ndefu
 
Si kile atayepingana na wewe yuko Ufipa.

Hoja hapa wala siyo kuvuka malengo. Hata kama malengo yanapangwa kitaalamu(hilo linafaamika), hoja ni kwa mimi malengo yanazidi kudidimia?
Malengo yanapangwa kabla ya mwaka mpya wa bajeti, sasa wewe unayesema yanadidimia sijui unatumia akili gani, lengo la TRA hadi la June 2017 litakuwa rasmi siku wanayopitisha bajeti, ujuaji mwingi halafu kichwani hamna kitu.
 
Hili la biashara kufa linanigusa kidogo hapo nilipita na pantoni nikienda kigamboni nikatupia macho shamba la meli mbele ya bomba la maji machafu hakuna meli kabisaaa sijajua nini tatizo!! Najua tunalenga uchumi wa viwanda lakini pia hatutaupata kwa kipindi kifupi hivi!! Mwl nyerere alifungua kiwanda cha cement tng nadhani 1980 hii ina maana alikua akijenga viwanda kidogokidogo na vimeyuka kwa kufumba na kufumbua!! kiukweli safari yetu ni ngumu na ndefu
Bandari imekimbiwa....watu wako Mombasa na Beira.......mapato ya bandari yameshuka kwa asilimia 49,
 
Back
Top Bottom