Watu hawafati mzigo tena....wadada wa hotel wanatemeshwa Kazi balaa....hoteli zimeathirika sana....hata return za mwezi wa sita TRA zitakuwa za hovyo kuliko zote
Lkn Mkuu hawa jamaa hawashindwi kujitekenya na kujichekesha. Wanaweza kupika data na kutusomea figure inayofurahisha masikio. Muda utaongea.