Mashabiki wa yanga kweli elimu hamna yaani kila atakacho sema yule nguruwe pori mnakubali sasa hizo document si hata ww ukikaa na computer yako unatoa mkeka kama huo sema manara kashawajua nyie mambumbu ndio maana anafanya hvyo maana alisema hamuunzi hatua za awali na mlikubali.
Data za kupika hzo data za kweli angalia lile shindano la nani zaidi la AZAM mpaka yanga waliamua kujitoa maana walikuwa wako hoi wakaona wasiaibike bure.

Acha ubishi usio na kichwa wala miguu! Hata msimu uliopita, TFF hii ya shabiki mwenzenu Wallace Karia ilitoa taarifa ambayo ikionesha wazi Yanga ndiyo Klabu iliyo ongoza kwa mapato ya mlangoni!