KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Jun 6, 2013 #1 Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa haipokei tena salio kwa kujaa. Naomba kujua mapato na matumizi.
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa haipokei tena salio kwa kujaa. Naomba kujua mapato na matumizi.
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Jun 6, 2013 #3 kwa hii thread inaonyesha huna moyo wa kutoa wala hujatoa chochote. mia
warumi R I P May 6, 2013 16,273 18,380 Jun 6, 2013 #4 Jaslaws said: Ili iweje?? Click to expand... Nimekupenda bureeeee
appoh JF-Expert Member Mar 14, 2013 4,901 1,642 Jun 7, 2013 #5 lengo lako si kumchangia jamaa au kwani uliwahi kununua hata cd yake
bily JF-Expert Member Apr 5, 2012 8,030 5,772 Jun 7, 2013 #6 Mkuu sidhani kama kuna haja ya wewe kujua piga chini .