Mapato na Matumizi ya Rambirambi ya Marehemu - Ngwea

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa haipokei tena salio kwa kujaa.
Naomba kujua mapato na matumizi.
 
kwa hii thread inaonyesha huna moyo wa kutoa wala hujatoa chochote. mia
 
lengo lako si kumchangia jamaa au kwani uliwahi kununua hata cd yake
 
Mkuu sidhani kama kuna haja ya wewe kujua piga chini .
 
Back
Top Bottom