General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Kum-eliminate muhusikaa sio kazi ndogo.Hivi kwanini uasi kabla ya kuanza wasimEliminate muhusika badala ya kusumbua wananchi wote kufanywa wakimbizi?
Kum-eliminate muhusikaa sio kazi ndogo.Hivi kwanini uasi kabla ya kuanza wasimEliminate muhusika badala ya kusumbua wananchi wote kufanywa wakimbizi?
Ndio mkuu si ndio wanaobaka wanawake na kuiba mali za watu.Una uhakika unachoandika?fuatilia Hao utajua km wanafanya unyama RDC au la
Unadhani vita miaka hii haizungumziki au?Au unadhani vita siku hizi ni unaamka tu paap unaingia mnaanza kupigana nchi nzima.We unazungumzia vita miaka hii? kwa mfano wakati uganda wenyewe waliharibu uchumi wetu vibaya mno na hapo walikua hawaelewani na iddi amini vipi sasa hivi utake mkono na nchi ambayo raia wake wanaipenda kwa hali na mali?
Mkuu we hujui tuu ila sio shughuli ndogo lazima turudi miaka 30 nyuma iwapo vita yoyote itatokea sasa na Rwanda.
Sijui nini kimekufanya uwe na kiburi namna hii kuwaona watu waliozoea vita kana kwamba ni vitoto vidogo sana yani...
Wasingekua na nguvu namna hiyo wangekua eliminated mara moja sana kama kikundi cha wezi watatu wanne. We hujiulizi silaha wanapata wapi na nae anaewawezesha?Hao jamaa si wako porini huko wanafanya biashara ya kukata mikaa,kubaka na kuteka Wacongo huko vijijini mkuu?Wale ni indispline hooligans tu with no international support wala chochote boss.
Hao sio serious threat kwa PK ila hua anatumia gia ya kwenda Congo kuwatafuta afu wanaingia kwny madini huko Congo wanapiga then nduki.
Ndio maana nilikua nakuambia unajiamini kiasi gani namna hiyo mpaka uwadharau hao ndugu kiasi hicho?Unadhani vita miaka hii haizungumziki au?Au unadhani vita siku hizi ni unaamka tu paap unaingia mnaanza kupigana nchi nzima.
Unajua kwanini watu wana invest heavily kwny intelligence?Nadhani umenielewa kidogo.
Congo ni almost a failed nation,congo vikundi vya waasi vya kila taka Africa viko huko maporini kwa hio kusema wanapataje silaha wkt inajulikana biashara yao kuu wanayofanya ni kukata mikaa+mbao na kuuza na kununua silaha mbona hata sio kitu cha ajabu sana.Wasingekua na nguvu namna hiyo wangekua eliminated mara moja sana kama kikundi cha wezi watatu wanne. We hujiulizi silaha wanapata wapi na nae anaewawezesha?
Hili ni changa la moto mradi ipatikane sababu ya kuchota mali za drc.
NB:Kabila sr ni sababu ya yote haya.
Tulia wewe, usiwe serious sanaaYaani kabisa mtoto wa kiume unaandika bila aibu kuwa wakitoka huko waje na huku....yaani unategemea ukombozi wa nchi yako na mateso yako yaondolewe na Mtu mwingine ambaye hata hakujui......
Wao wameamua na kuona kuwa muda wa kulalamika na kulia lia umeshapita Sasa ni wakati wa kupigania kile wanachokitaka....wametambua kuwa jukumu la ukombozi wa taifa lao liko mikononi mwao na sio kwenye keyboard za computer au screen za simu......
Nyie endeleeni kuonyesha ushujaa mitandaoni na umahiri wa kutukana na kughadhabika huku siku zinakwenda....!!!!
Ukiona inatosha utachukua hatua!!!
Kwanza mobutu alishakufa kwa hiyo yote yangekwisha. Nasema kabila sr ni sababu ya yote hayo kwa sababu alikiuka makubaliano kati yake na rwanda na uganda na kilichomkuta unakijua na hakikuishia kwake tuu bali mateso kwa eneo la kivu.Congo ni almost a failed nation,congo vikundi vya waasi vya kila taka Africa viko huko maporini kwa hio kusema wanapataje silaha wkt inajulikana biashara yao kuu wanayofanya ni kukata mikaa+mbao na kuuza na kununua silaha mbona hata sio kitu cha ajabu sana.
Mobutu ndiye aliyeleta yote hayo yote na sio Kabila sr cz baada ya FAR kukimbilia Congo na yeye Mobutu akaanza kuwa support wawe wana launch mashambulizi+kufanya training wakiwa ndani ya Congo ndipo PK na M7 wakaenda kumchapa wakamtoa madarakani na kuwawekea vikundi vya waasi ili nchi isitulie tuli
My main point pale juu ni kuongelea Congo,Uganda&Burundi ndio nilikua nawaongelea hayo masuala ya Jw hebu tuachane nayo boss.Ndio maana nilikua nakuambia unajiamini kiasi gani namna hiyo mpaka uwadharau hao ndugu kiasi hicho?
Kwa hapa sina cha kubisha,100% nakubali.Kwanza mobutu alishakufa kwa hiyo yote yangekwisha. Nasema kabila sr ni sababu ya yote hayo kwa sababu alikiuka makubaliano kati yake na rwanda na uganda na kilichomkuta unakijua na hakikuishia kwake tuu bali mateso kwa eneo la kivu.
Halafu sehemu zenye matatizo ni mashariki ya drc labda na makao makuu kishasa sehemu nyingine sioni shida sana hasa maeneo ya kusini mwa drc.
Hao fdlr changa la macho tuu ili ipatikane sababu ya kuwepo drc kuchota madini.
ivi nyinyi mnaopiga kelele nyuma ya keyboard mbona wakati Muroto anatangaza kipigo cha mbwa koko hamkutoka nje?
wanaume mnalalama tu, mnaona wanaume wenzenu hao ,wametoka Kwenye camera, lakini wabongo kutwa majungu mara ooh jiwe mara lumumba.
jitoeni kimasomaso
Jitolee mkuu bla bla mwachieni Haji manara ndo kazi yake, wanaume pambaneniHahahaa...you made my day........wanaumee shime tumtafutie mzee baba dawaa
Jitolee mkuu bla bla mwachieni Haji manara ndo kazi yake, wanaume pambaneni
Kinshasa kuna mapigano sehemu gani?Kwanza mobutu alishakufa kwa hiyo yote yangekwisha. Nasema kabila sr ni sababu ya yote hayo kwa sababu alikiuka makubaliano kati yake na rwanda na uganda na kilichomkuta unakijua na hakikuishia kwake tuu bali mateso kwa eneo la kivu.
Yani mkuu tukusaidie kukuingiza madarakani halafu utujeuke? NO lazima tukufundishe adabu.
Halafu sehemu zenye matatizo ni mashariki ya drc labda na makao makuu kishasa sehemu nyingine sioni shida sana hasa maeneo ya kusini mwa drc.
Hao fdlr changa la macho tuu ili ipatikane sababu ya kuwepo drc kuchota madini.
Kila Africa ina vikundi vya waasi Congo? asee si mchezoCongo ni almost a failed nation,congo vikundi vya waasi vya kila taka Africa viko huko maporini kwa hio kusema wanapataje silaha wkt inajulikana biashara yao kuu wanayofanya ni kukata mikaa+mbao na kuuza na kununua silaha mbona hata sio kitu cha ajabu sana.
Mobutu ndiye aliyeleta yote hayo yote na sio Kabila sr cz baada ya FAR kukimbilia Congo na yeye Mobutu akaanza kuwa support wawe wana launch mashambulizi+kufanya training wakiwa ndani ya Congo ndipo PK na M7 wakaenda kumchapa wakamtoa madarakani na kuwawekea vikundi vya waasi ili nchi isitulie tuli
Yani mkuu ni shida Rwanda waasi wake wako huko Congo,Africa ya kati,Uganda,Angola wakina savimbi walikua huko mpk Sudani kusini ina waasi wake wamejificha huko huko etcKila Africa ina vikundi vya waasi Congo? asee si mchezo
Uzuri naijua vzr Congo na Rwanda ,hasa haya mamboz zao,siwezi ongea sana humuYani mkuu ni shida Rwanda waasi wake wako huko Congo,Africa ya kati,Uganda,Angola wakina savimbi walikua huko mpk Sudani kusini ina waasi wake wamejificha huko huko etc
Ile nchi ni kama haina mwenyewe mkuu.
Huwaga kunatokea machafuko mkuu nakumbuka miezi iliyopita waliuana humo.Kinshasa kuna mapigano sehemu gani?
Machafuko au vurugu za kisiasa? Unaposema machafuko au mapigano ujue unaongea kitu tofauti? Siasa za Congo sio km za hapo bongo,MTU hakisema no kutoka kuandama watu hawatoki kweli ,vurugu za kisiasa Kinshasa ndio penyeweHuwaga kunatokea machafuko mkuu nakumbuka miezi iliyopita waliuana humo.