Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Amezuia isitangazwe lakini nipo Lusizi hapa madereva wa Coaster za kutoka Kigari kuja hapa wanasema kuna mapigano na wengi hawapiti ile njia kwa sasa
sasa nimeamini....asante kwa taarifa nimefarijika
 
nataka nilete mchele huko Kigali vipi unalipa?
Kigali wanakulaga Mchele kitumbo tu...wakisikia una Mchele wa Tanzania kuna baadhi wanasogeaga hata kuja kusikia kaarufu tu ka Mchele unavyonukia yaani kula wanajua sio kazi rahisi kukaribishwa maana kipunga cha kunukia ni adimu kama bikra kwenye wodi ya wazazi.

Hii fursa kuna Wanyarwanda wanaifanya wananunua Mchele pale kahama kama hawana akili nzuri kupeleka Rwanda wao huwa wana namna zao za kuupitisha hata kwa njia za panya maana ishu kubwa iko pale border ya Rusumo sababu sometimes huwa hawaruhusu kutoa chakula nje ya nchi.

Ukipeleka Mchele Rwanda na kuwapa hela watafurahia zaidi zawadi ya Mchele kuliko mkwanja.
 
Wakoloni wameshamchoka. Anageuka toilet paper soon. Pole Sana fidodido. You had your chance ya kuritire a hero but nope madaraka yalikulevya.
Wewe na mwenzio M7 mnadaigi ni quarter pin ya baiskeli na mtatoka kwa nyundo.. Haya sasa pambana kiume.
[emoji23]
 
naufwatilia huu uzi nipate updates lakini naona kimya
 
nataka nilete mchele huko Kigali vipi unalipa?
Unalipa sana kaka lkn sio huo wa huko nyumbani km unaweza unaagiza wa Pakistan au Thailand na soko zuri lipo Congo unafanya biashara Congo kulala upande wa Rwanda kule Usalama sio mzuri sana mfumo wake tukifikisha container ya Unga mm naleta sembe unawakabizi madalari wa Congo unawapa bei yako kwa kiroba wanauza wao wewe unakusanya pesa jioni unawapa chao karibu mkuu japo hakuna Uhuru km huko nyumbani lkn fursa ipo
 
Hii itakua Congo ya mashariki km sijakosea ndio hakujatulia lkn ,Congo nyingine yote biashara unafanya vzr tu ,maeneo korofi ni Kivu,Goma,Benni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom