Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

Hiyo vita ipo kweli au ndo tunaendesha gurudumu la ramli?
ipo kweli..ila namna ya kuipata habari yake ndo ngumu,paulo haruhusu mtu kwenda kuripoti huko,anataka iwe kimya..si wajua pakisemekana kuna vita background ya rwanda si nzuri,nani ataenda..plus alert kwa raia..huwezi jua watareact vp
 
"Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi. Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani.

Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake. Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi.

Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi".

*C & P*
Kuna ukweli humu?

Hebu tufahamishane waungwana wa JF.

Bazazi Ubazazini Akibazazi

=======

Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda kati ya vikosi vya waasi na vile vya majeshi ya Serikali katili na dhalimu ya Rais Meja Jenerali Paul Kagame, raia wengi wa Rwanda wanaendelea kukimbilia nchini Burundi.

Haijajulikana bado hao waasi wanaongozwa na nani. Lakini inahisiwa ni Jenerali Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye iimeripotiwa kuungwa mkono na Ufaransa na Rais Pierre Nkurunziza ambaye amepania kumwondoa Rais Paul Kagame madarakani kabla hajaingia vitani nchini Burundi kwa mgongo wa waasi wanaiopinga serikali yake.

Mpaka sasa inaelekea Kagame amekaa kimya, hajautangazia ulimwengu kuwa nchi yake imevamiwa na waasi. Mkoa wote wa Kusini Magharibi karibu umetekwa na waasi na barabara zinazotoka Mkoani humo kuelekea Kigali zimefungwa na waasi.

Duuh Paul awaachie nchi yao apumzike
 
A timing bomb indeed.
Halafu hawa wote ma ex-generals na hizo military backgrounds makes the whole thing better and worse at the same time.

Another Interesting thing you pointed out. If things go south, Mrundi will likely get involved in one way or the other. But hopefully someone from the outside is paying attention to this.

Interesting Insight!
Hahah mrundi aingilie?Bila shaka unatania huyu huyu Nkurunziza aliyetaka kupinduliwa mpk wabongo wakampa escort kurudi Burundi au kuna mwingine tena?

Kwa E/Africa anayeweza ku intervene mambo ya kijeshi kwa Rwanda labda ni Tz tu lkn Congo,Uganda&Burundi hata wajiunge kwa mpigo wala PK hawatetemekei cz anawajua nje ndani na mapandikizi yake mpk humo kwny majeshi na ikulu zao.
 
Hiyo vita ipo kweli au ndo tunaendesha gurudumu la ramli?
Mkuu unakumbuka habari ya Yericko Nyerere alituambia wana ukawa tushone suti mzee ameshinda anajiandaa kwenda kuapishwa?Ndo kama hii habari sasa.

Afu mara paaap jiwe kaapishwa hahah
 
Hahah mrundi aingilie?Bila shaka unatania huyu huyu Nkurunziza aliyetaka kupinduliwa mpk wabongo wakampa escort kurudi Burundi au kuna mwingine tena?

Kwa E/Africa anayeweza ku intervene mambo ya kijeshi kwa Rwanda labda ni Tz tu lkn Congo,Uganda&Burundi hata wajiunge kwa mpigo wala PK hawatetemekei cz anawajua nje ndani na mapandikizi yake mpk humo kwny majeshi na ikulu zao.
Si kweli mkuu.
 
Mng'ato kumbuka, Warundi nao their two major Ethnic Groups ni "Hutus&Tutsis"
Kama umenipata loud and clear.

Halafu unasema PK hawatetemekei hao wengine ila sisi, huu ukaribu na Wanya Rwanda tulio nao sasa baada ya JK kuondoka unafikiri hawatujui inside out by now?!, halafu naona utakuwa umesahau alivyosema tukizipiga atatuchapa...lol!

On a serioues note tho, hata kama JWTZ tukiingia, we'll obviously be on his side.
 
Waangushe utawala wa huyo boya maana ndie alituchagulia jiwe kwa kupenyeza mamluki wake ndani ya usalama wa taifa

Na ninawahakikishia hali ikiendelea kuwa mbaya huko lazima jiwe apeleke jeshi huko tena na bajeti ya kutosha!
Mnawakuza sana wanyarwanda, lau wangefikia hata nusu ya uwezo mnaowapa, wangekuwa mbali sana
 
Mng'ato kumbuka, Warundi nao their two major Ethnic Groups ni "Hutus&Tutsis"
Kama umenipata loud and clear.

Halafu unasema PK hawatetemekei hao wengine ila sisi, huu ukaribu na Wanya Rwanda tulio nao sasa baada ya JK kuondoka unafikiri hatujui inside out by now?!, halafu naona utakuwa umesahau alivyosema tukizipiga atatuchapa...lol!

On a serioues note tho, hata kama JWTZ tukiingia, we'll obviously be on his side.
Unajua mkuu Nalendwa shida kwa mfano ya Uganda&Congo hio jamii ya Watutsi iko kwa kiasi kikubwa kuliko hata Tz so kitachofanyika ni kuunda vikundi vingi kama kile cha M23 utasikia ni kwa ajili ya kutetea jamii ya Watutsi walioishi huko Tangu enzi za mababu kama ambavyo Congo imekua destibilised.

Kwa Burundi ndio tatizo hasa sababu hao Tutsi ni kabila kabisaa official hapo ndipo zitapigwa kwa msaada wa PK mpk asubuhi kama unakumbuka enzi za kina Buyoya ndio itarudi kwa style hio.

Kwa Jw hapo naomba tupaache for the mean time mkuu Nalendwa,nadhani unanielewa mkuu.
 
Unawajua FDLR vzr? Hebu wafuatilie hao
Hao jamaa si wako porini huko wanafanya biashara ya kukata mikaa,kubaka na kuteka Wacongo huko vijijini mkuu?Wale ni indispline hooligans tu with no international support wala chochote boss.

Hao sio serious threat kwa PK ila hua anatumia gia ya kwenda Congo kuwatafuta afu wanaingia kwny madini huko Congo wanapiga then nduki.
 
Hivi kwanini uasi kabla ya kuanza wasimEliminate muhusika badala ya kusumbua wananchi wote kufanywa wakimbizi?
 
Ukweli ni upi mkuu?
We unazungumzia vita miaka hii? kwa mfano wakati uganda wenyewe waliharibu uchumi wetu vibaya mno na hapo walikua hawaelewani na iddi amini vipi sasa hivi utake mkono na nchi ambayo raia wake wanaipenda kwa hali na mali?

Mkuu we hujui tuu ila sio shughuli ndogo lazima turudi miaka 30 nyuma iwapo vita yoyote itatokea sasa na Rwanda.
Sijui nini kimekufanya uwe na kiburi namna hii kuwaona watu waliozoea vita kana kwamba ni vitoto vidogo sana yani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom