Mapaja wazi

Mapaja wazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,830
Reaction score
12,319
Ivi inakuaje ukimwona msichana aliyevaa kwa heshima afu kwa bahati mbaya ukaona paja lake karibia na maeneo nyeti, mzee mzima unakua mkubwa ghafla.

Lakini mwanamke huyohuyo akivaa bikini akapitambele yako mfano wakati wa mashindano ya umisi au kuogelewa,,husimamishi kiviile?
 
KakaJambazi hapa vipi???

298366_10150379890338524_769138523_9939793_1681459797_n.jpg
 
Sasa kama kavaa kiheshima hilo paja karibu na maeneo nyeti umelionaje? Au umemchungulia?
 
Inategemea sana na maadili uliyonayo wewe binafsi............wengine wetu kuona utupu wa mwingine hovyo ni kero; siwezi kuwa excited.........nita sawijika kwa fadhaa!
 
Niliwahi kusoma uzi mmoja hapa kabla sijajiunga ulikuwa ukiwahoji wanaume kuwa, hivi wakiona uchi wa mwanamke wanapata nini?
Hivi walijiibu nini vile!?
 
Bado kuna mnao zuzuka na mapaja? Mi nlishaacha nikiwa darasa la sita!
 
Ivi inakuaje ukimwona msichana aliyevaa kwa heshima afu kwa bahati mbaya ukaona paja lake karibia na maeneo nyeti, mzee mzima unakua mkubwa ghafla.

Lakini mwanamke huyohuyo akivaa bikini akapitambele yako mfano wakati wa mashindano ya umisi au kuogelewa,,husimamishi kiviile?

Kuchungulia kunaraha yake mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom