Mapacha walioungana na Mitihani ya Form Six 2017

Mkuu Ni kweli hali ya hawa ndugu zetu inaweza kuwa Ni sehemu ya uweza wa Mungu Lakini pia linaweza kuwa Ni jambo linaloelezeka kisayansi zaidi.Hali ya namna Hii itakuwa Ni sababu ya Gene Mutations.Kwa hiyo Kwa sababu hatuwezi kumpata Mungu kwa namna yoyote ili atueleze kama Ni sehemu ya uweza wake au la Hebu Basi sisi tuliangaze jambo hili katika mtizamo wa sababu za Kibailojia tu. Naomba ujisomee kidogo kuhusu Suala la Gene Mutations uone jinsi matatizo ya hawa ndugu yanavyoweza kuwa yamesabibishwa nalo.

1.Kufa kwa mmoja wao
2.Kuolewa kwa mmoja wao
3.Mmoja angefeli mtihani?
4.Kuajiriwa kwa mmoja wao na mengine mengi...

Ee Mungu, uwatie nguvu wanao hawa, na uwafanye watumike kadiri ya makusudi yako....Amina[/QUOTE]
Mkii
 
Ukuu was Mungu unazidi kuonekana kupitia hawa...Kibinadamu twaweza kuwa na maswali yasiyo kuwa na majibu lakini Mungu pekee ndio anajua. Mfano twaweza jiuliza;
1.Kufa kwa mmoja wao
2.Kuolewa kwa mmoja wao
3.Mmoja angefeli mtihani?
4.Kuajiriwa kwa mmoja wao na mengine mengi...

Ee Mungu, uwatie nguvu wanao hawa, na uwafanye watumike kadiri ya makusudi yako....Amina

Maswali mengi.. hivi kwanini wasingetumia jina moja, wangerahisha kidogo hii sintofahamu. nadhani kuna haja ya kufanya hivvyo, madhali imeshaonekana ni vigumu kuwatengenisha, unless kama watatenganishwa baadae.
 
Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Wameungana mwili wanatumia moyo mmoja hivyo wanafariki pamoja
 
Maswali mengi.. hivi kwanini wasingetumia jina moja, wangerahisha kidogo hii sintofahamu. nadhani kuna haja ya kufanya hivvyo, madhali imeshaonekana ni vigumu kuwatengenisha, unless kama watatenganishwa baadae.
Highly risky bro! Kama ilishindikana kutenganishwa utotoni kwa sasa na umri wao huo ni kuwatakia kifo tu kutaka kuwatenganisha.Kumbuka wanashare organs muhimu eg moyo na pengine liver na kidneys.(only guessing, I really don't know!)
 
Wanafanya wote mtihani mmoja ama kila mmoja anakua na wake na je kama ni mtihani mmoja inakuaje wafanye watu wawili.na je ikiwa mmoja kati yao atafeli na mwingine akafaulu itakuaje.
 
Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
mh! Inauma!
 
Highly risky bro! Kama ilishindikaniva kutenganishwa utotoni kwa sasa na umri wao huo ni kuwatakia kifo tu kutaka kuwatenganisha.Kumbuka wanashare organs muhimu eg moyo na pengine liver na kidneys.(only guessing, I really don't know!)
Mimi pia sioni hilo likitokea hivyo watumie jina moja
 
Unajiuliza kuhusu kuolewa?
Jiulize mmoja akifariki vipi mwingine atakuwa hai?
Je akiwa hai....unafikiri marehemu atazikwaje?
Mimi ni pacha ila nashukuru ckuzaliwa kama huwa wenzangu...
Akifariki mmoja mwengine hawezi kubaki hai..
 
Ni changamoto kubwa sana hapo wangetumia jina moja ili ajulikane ni mtu mmoja sababu hata huo mtihani kila 1 akiwa na karatasi yake wanafanya kwa pamoja na hata akifauru 1 lazima chuo waende wote japo nawaombea wafauru wote
 
Jamani kuna watu wavivu wa kufikiri kweli kama ndugu zetu hawa wanafanya mtihani wa kidato cha sita maana yake walishafsnya wa kidato cha NNE wakafaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha sita. Sasa nashangaa mtu anadhubutu tena kuuliza watafanyaje mtihani? Akili za baadhi ya watanzania wanazijua wao wenyewe aiseee.
 
Back
Top Bottom