Maoni yenu please:VUZE[AZUREUS] VS UTORRENT.

Maoni yenu please:VUZE[AZUREUS] VS UTORRENT.

shida ya direct downloads ni ngoma ikidisconnect, kama haian resume capabilities, sasa itakuwaje?
website zote zinazodownload torrent directly zina resume capabilities mkuu, iwe free iwe premium
 
Torrent Protocol iko kama hivi.
A ana faili X liko 5% complete. B ana faili X liko 70% na C ana faili X liko 100% hawa watu wanashare faili kwa Torrent protocol. Kwa A hana msaada wowote kwa B, na C kwa kuwa parts za faili hilo alizo nazo walisha download tayari. Kwa hiyo yeye atakuwa anapakua toka kwa wenzake ilhali hachangii chochote hawa wanaitwa kwa lugha ya BTT Leechers (kupe).

B atapakua asilimia 30 zilizobaki toka kwa C na kutoa asilimia 65 zilizobakia kwa A. Kwa hiyo B ni kupe kwa C lakini mpanda-mbegu (seeder) kwa A. Na mwisho C hapakui kwa yeyote ila anawagawia wengine. Yeye ni mpandaji wala sio kupe. Kwa hiyo ukiwa na wapandaji wengi kuliko kupe utashusha vitu haraka kuliko kinyume chake

........Bit torrent 101 🙂

kwa hiyo ukiwa seeder kwa kila ukiwa online na airtime yako inakatika?? If so kwa kiasi gani?? If no ni kwa jinsi gani hayo mafaili yanafloat?? Naomba ufafanuzi kidogo hapo.
 
kwa hiyo ukiwa seeder kwa kila ukiwa online na airtime yako inakatika?? If so kwa kiasi gani?? If no ni kwa jinsi gani hayo mafaili yanafloat?? Naomba ufafanuzi kidogo hapo.
Unatumia pesa kwa kuwa BT Client yako inakuwa inafanya uploads. Kwa kiasi gani inategemea na upload bandwidth uliyoiruhusu app yako na network speed!
 
Unatumia pesa kwa kuwa BT Client yako inakuwa inafanya uploads. Kwa kiasi gani inategemea na upload bandwidth uliyoiruhusu app yako na network speed!

Ahsante sana mkuu kwa msaada wako,so kama vile mie ninavyofuta hizo seeds ni sawa??
 
copy paste kutoka kwao wanasema.....
FDM lets you download files and whole web sites from any remote server via HTTP, HTTPS and FTP.
You can also download files using BitTorrent protocol.
sasa mkuu hii maana yake ni kudownload torrent directly??? au pia yenyewe inadownload torrent kama ifanyavyo bittorrent client yoyote??
nahisi kama si direct download vile??

hapo sasa sielewi hayo mambo ya bittorrent protocol yanaendaje ila jana nimedownload fila faili la MB 741 ndani ya muda mfupi kupitia FDM
 
hapo sasa sielewi hayo mambo ya bittorrent protocol yanaendaje ila jana nimedownload fila faili la MB 741 ndani ya muda mfupi kupitia FDM
mkuu direct download inakuwa kuna website ile torrent inaichukua yeye halafu wewe inakupa link ya kudowload fail lako kutoka kwao. zipo web nyingi sasa zinofanya hivyo ila maarufu ni www.zbigz.com.
mfano cheki hapa chini ninamaliza GB 4 zilizobaki ndani ya dakika 96.......
direct download.png
 
haya nyasiro na paje tool yenu hiyo ya zbigz ni mozila firefox imekua moded ukiingia tu zbigz inakua premium bila cookie wala nguvu yoyote. credit kwa jamaa anaitwa chaitanya the man behind tricks nyingi za net.

zbigz.zip
 
mkuu mbona mm nime install na ime create mozilla like shortcut ,,nimeifungua nimeingia zbigz lkn naambiwa premium is OFF
 
website zote zinazodownload torrent directly zina resume capabilities mkuu, iwe free iwe premium

hapo sawa, ila i still prefer torrent for many reasons.
 
mkuu mbona mm nime install na ime create mozilla like shortcut ,,nimeifungua nimeingia zbigz lkn naambiwa premium is OFF
premium account waliyokuwa wakitumia imepigwa pini. angalia page yao ya facebook
 
Back
Top Bottom