Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,034
Binafsi kwa sasa nipo maeneo ya nje kidogo ya mji wa moro mjini kama km 65 hivi.Huku mtandao unaojitahidi katika internet ni voda.Nilikuwa najaribu ku download movies kwa kutumia Utorrent,movie ya 1.5 GB inanichukua mpaka 4 days kukamilika.Jana nimeweka Vuze downloader,aisee yaani 2GB lisaa 1:30 tu mzigo tayari.Lakini nimefuatilia link mbali mbali zinadai Utorent downloading speed ni 16% more than VUZE kwahiyo Utorrent ni bora kuliko VUZE.Naombeni maoni yenu kutokana na experience zenu,ipi ni bora kati ya hizi?au kuna nyingine nzuri kuliko hizi?...karibuni.