Maoni yenu please:VUZE[AZUREUS] VS UTORRENT.

hapa nafanya comparison ya utorrent na vuze, same torrent nimeiweka kote kote, muda mmoja, configuration ni default kote kote, mpaka sasa vuze inakaribia kumaliza vikings s01e08 iko 75% na utorrent iko 5% sasa sielewi kuna nini kinaendelea ila ndo observation zangu za haraka haraka CTO upooo?
 
Last edited by a moderator:
vuze imemaliza kudownload, i am officially switching to vuze, utorrent byeeeeee
 
Unatumia kompyuta moja.? I.e unashushia katika PC moja.?
 
Isije ikawa issues za software priority. Kwamba vuze iko na priority kubwa wakati utorrent ikiwa na priority ndogo.
 
vuze imemaliza kudownload, i am officially switching to vuze, utorrent byeeeeee

Mkuu ungejaribu kufanya comparison na tixati halafu tucome na conclusion which is the best. maana kuna kipindi nilitumiaga vuze ikazingua nikaja utorrent nayenyewe ikazingua na sasa niko tixati na nahisi kama inaanza kuzingua kutôkana na maelezo yakô unanishawishi nirudi vuze.
 
Unatumia kompyuta moja.? I.e unashushia katika PC moja.?
computer moja , os moja, settings ni default, muda ni mmoja, now nimemaliza kuangalia vikings ambayo ishashushwa na vuze wakati utorrent inasua sua, yani nimeshangazwa sana nahisi kama vuze ina plugin zinazoifanya iwe ina accelerate downloads ukiacha number of seeds,
 
Mkuu ungejaribu kufanya comparison na tixati halafu tucome na conclusion which is the best. maana kuna kipindi nilitumiaga vuze ikazingua nikaja utorrent nayenyewe ikazingua na sasa niko tixati na nahisi kama inaanza kuzingua kutôkana na maelezo yakô unanishawishi nirudi vuze.
nitacompare vuze na tixati kushusha, utorrent officially nimeitoa kabisaaa
 
hapa nafanya comparison ya utorrent na vuze, same torrent nimeiweka kote kote, muda mmoja, configuration ni default kote kote, mpaka sasa vuze inakaribia kumaliza vikings s01e08 iko 75% na utorrent iko 5% sasa sielewi kuna nini kinaendelea ila ndo observation zangu za haraka haraka CTO upooo?
C6
Unajua Software inapaswa kuwa na good usability. Hapo lazima default settings za Utorrent ni mbofu mbofu tu. Unaweza kuta by default wamelimit vitu flani wakitegemea user ategue. Kwa hiyo Vuze wamekuwa wajanja. Lakini Pia sijajua kama Utorrent wameimpelement features and advantages za BTT protocol.

Situmii Vuze wala Utorrent (natumia Deluge) kwa hiyo sina hakika cause. Nikipata muda nitajaribu kucheck kinacholeta difference!
 
Nimefanya Quick research inaonekana kuna tracker wana block certain clients. Kwa hiyo uTorrent inaweza kuwa blacklisted somehow ktk baadhi ya trackers na hivyo kupunguza uwezo wake wa kuunganisha na seeders wengi ukilinganisha na Vuze!

Sijaconfirm bado mpaka nifanye indepth analysis ya hii kitu!
 
hapa nafanya comparison ya utorrent na vuze, same torrent nimeiweka kote kote, muda mmoja, configuration ni default kote kote, mpaka sasa vuze inakaribia kumaliza vikings s01e08 iko 75% na utorrent iko 5% sasa sielewi kuna nini kinaendelea ila ndo observation zangu za haraka haraka CTO upooo?

ukirun zote mbili kwa pamoja itakua wanapigania bandwidth. na utorrent amewekwa kama internet inatumika yeye apunguze makali ya kudownload awaachie wengine. ulitakiwa udownload same file kwa mida inayopishana kwa dakika chache halafu uwawekee stop watch. kisha aliyeanza mwanzo adownload tena kama control experiment ya network fluctuation.
utorrent sio mbaya, kwangu inashusha hadi 800kbps nearly same as my direct http download, nimebadili upload speed tu kwa kuipunguza tu the minimum, kilobaki chote ni default
 
mimi bado nahitaji kudownload torrent directly via zbigz ambayo naona kama imekufa ila sasa nimegundua FREE DOWNLOAD MANAGER inadownload torrent directly... so goodby bit-torrent clients
 
Nimefanya Quick research inaonekana kuna tracker wana block certain clients. Kwa hiyo uTorrent inaweza kuwa blacklisted somehow ktk baadhi ya trackers na hivyo kupunguza uwezo wake wa kuunganisha na seeders wengi ukilinganisha na Vuze!

Sijaconfirm bado mpaka nifanye indepth analysis ya hii kitu!
ndio maana katika option sehemu ya protocol encryption, unatakia uweke enable kama una wasiwasi wa kuwa unablockiwa.
lakini kama tracker mwenyewe ni kat.ph au piratebay, probably ndio wao , itakuwa ni issue nyengine
 
halafu pia nimegundua kitu kingine , nasumbuliwa sana na tatizo la auto disconnection hasa nikiwa na download torrents, mpaka nikaamua kufanya settings mpya kuzuia kompyuta isiwe ina auto disconnect,uhusiano na utorrent:niliifunga utorrent kabisa ili zisigawane bandwidth na vuze, sasa usiku huu nimefungua utorrent niendelee na experiment nikaona tayari disconnected, ila haraka computer ika connect, hata hivyo nikiangalia status ya torrents ni: connecting to peers tangu sijui muda niliofngua mpaka sasa.
 
mimi bado nahitaji kudownload torrent directly via zbigz ambayo naona kama imekufa ila sasa nimegundua FREE DOWNLOAD MANAGER inadownload torrent directly... so goodby bit-torrent clients
shida ya direct downloads ni ngoma ikidisconnect, kama haian resume capabilities, sasa itakuwaje?
 
mimi bado nahitaji kudownload torrent directly via zbigz ambayo naona kama imekufa ila sasa nimegundua FREE DOWNLOAD MANAGER inadownload torrent directly... so goodby bit-torrent clients

copy paste kutoka kwao wanasema.....
FDM lets you download files and whole web sites from any remote server via HTTP, HTTPS and FTP.
You can also download files using BitTorrent protocol.
sasa mkuu hii maana yake ni kudownload torrent directly??? au pia yenyewe inadownload torrent kama ifanyavyo bittorrent client yoyote??
nahisi kama si direct download vile??
 
Back
Top Bottom