Maoni yako tafadhali kuhusu kondomu

Maoni yako tafadhali kuhusu kondomu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,602
Reaction score
830,325
Ni zaidi ya miaka 25 sasa tangu kondomu ilipoingia kwa mara ya kwanza nchini, mengi yametokea kuhusiana na hii kitu mfano zimeuwa watoto waliizichea na kuzimeza kwa bahati mbaya, waume kufumaniwa kwenye Nguo na wallet zao wakiwa nazo, watu kutaka kutoa pesa badala yake wakatoa kondomu nk nk
Kuna stori nyingi mno waweza shiriki Hapa au hata kutoa maoni yako
Karibuni
 
Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kama zinazuia Ukimwi au lah, Ikabainika kuwa haizuiii ukimwi watengenezaji wakalazimishwa kuwandikia watumiaji kwenye Boxes zao kama Huzuia mimba na kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
 
Kinachonitatizaga ni namna SHS 100 inavyoweza kumlinda mtu alievaa nguo na vito vyenye thamani zaidi ya laki mbili, ila linapokuja swala la afya yake anailinda kwa shs 100. kweli!!!! Hawa jamaa wanatuthamini kiasi hiko hadi kitu cha shs 100 kiweze kulinda afya ya muafrika?

Mbona madukani kwao huko zinauzwa bei ghali ivo? tena za viwango vya juu kiasi hiko?? kwani vrs vya huku ni vidhaifu kuliko vilivyoko uko kwao sio?

Amka kapime na chukua hatua. Tanzania inakuhitaji, Familia inakuhitaji zaidi.
 
mm c amin kama ukimwi unazuilika kwa mfuko!mm na amin huzuilka pale mtu mwenyewe atakapokuwa mwangalfu,uaminfu,kujiepusha na mapenz ya mulptiple ni mchango wangu wanajamvi!
 
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasikia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri
 
Tized, bei halisi ya condom ni zaidi ya hiyo bei elekezi. Serikali na wafadhili wanagharamia kwa kiasi kikubwa. Hiyo tzs 100 ni kama kwa ajili ya kuzitrack tu kama zimetumika kiasi gani.
Kinachonitatizaga ni namna SHS 100 inavyoweza kumlinda mtu alievaa nguo na vito vyenye thamani zaidi ya laki mbili, ila linapokuja swala la afya yake anailinda kwa shs 100. kweli!!!! Hawa jamaa wanatuthamini kiasi hiko hadi kitu cha shs 100 kiweze kulinda afya ya muafrika?

Mbona madukani kwao huko zinauzwa bei ghali ivo? tena za viwango vya juu kiasi hiko?? kwani vrs vya huku ni vidhaifu kuliko vilivyoko uko kwao sio?

Amka kapime na chukua hatua. Tanzania inakuhitaji, Familia inakuhitaji zaidi.

Yaani sista bado unafanya ngono? Olewa bwana.
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasikia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri
 
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasukia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri

Tatizo lako ulikuwa haujui formula za kuvaa condom.

romance zinahitajika sana ili kuuamsha uume usimame straight kwa pressure kubwa ndipo condom ivaliwe. (hapo ni kwa condom ya kiume)

kama ni huduma ya voda fasta, lazima zitakupasukia tu kila leo!
 
Tized, bei halisi ya condom ni zaidi ya hiyo bei elekezi. Serikali na wafadhili wanagharamia kwa kiasi kikubwa. Hiyo tzs 100 ni kama kwa ajili ya kuzitrack tu kama zimetumika kiasi gani.

Yaani sista bado unafanya ngono? Olewa bwana.
Wachumba wenyewe wako wapi? misala tu waume wa siku hizi badala ya kutunza mke wanataka mke ajitunze mwenyewe kwa jasho lake....siyawezi mie
 
Tatizo lako ulikuwa haujui formula za kuvaa condom.

romance zinahitajika sana ili kuuamsha uume usimame straight kwa pressure kubwa ndipo condom ivaliwe. (hapo ni kwa condom ya kiume)

kama ni huduma ya voda fasta, lazima zitakupasukia tu kila leo!
we unadhani virus wanaingia kupitia uume tu?.

Hata kama,demu akiwa na maji kibao uvaaji wa condom ni sawa na bure,wakati unaivua lazima maji ya uke yagusane na uume tu.
 
Ndo utandawazi bwana. Mnatunza wanawake 3 kwa kumchangia. Mwenzio anampa gari, mwingine anaweka mafuta afu wewe wahi kununua vest na uturi. Manake wachumba ni extinct species siku hizi.

Back
Top Bottom