Shakidinkili
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 458
- 174
Kondomu zipo zinatumika zaidi ya miaka 25 uliyotaja. matumizi yake huko nyuma ilikuwa ni moja ya njia za kupanga uzazi, yaani kuzuia mimba zisizotarajiwa. Matumizi yaliongezeka sana kwa haraka pale ulipozuka ugonjwa wa Ukimwi na vyombo vya habari kutangazia sana kuwa ni kinga dhidi ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa. Bei halisi ya kondomu iko juu ila asasi mbali mbali zinachangia gharama na hivyo kufanya kondomu iuzwe shilingi 100/= tu