MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,048
- 1,102
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu kama ilivo kwa wakristu siku ya jumapili vp wadau mnalionaje hili kwa mtizamo wenu.karibu