Maoni ya katiba mpya siku ya ijumaa itambuliwe kama siku ya mapumziko

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu kama ilivo kwa wakristu siku ya jumapili vp wadau mnalionaje hili kwa mtizamo wenu.karibu
 
Si mnasema baada ya swala kila mtu akajitafutie riziki au............................ Sasa itakuwaje siku ya mapumziko!
 
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu kama ilivo kwa wakristu siku ya jumapili vp wadau mnalionaje hili kwa mtizamo wenu.karibu
Ha ha haa Mhafiwa nimekutafuta kwenye namba yako ya Airtel hupatikani. Sasa hivi kumbe uko Manzese. Vipi jana night?
 
Mapumziko ya nini.. Wakati muda mi nawaonaga wanakunywa ghahawa hapa opposite na msimbazi police wakiwa wanasubiri ibada na baada ya hapo huendelea na kupiga soga
 
Nipo maeneo ya manzese darajani karibia kila anayeto maoni ya katiba mpya anapendekeza siku ya ijumaa itambulike kama siku ya mapumziko ya shughuri za serikari ili kuwapa uhuru waislam kuabudu kama ilivo kwa wakristu siku ya jumapili vp wadau mnalionaje hili kwa mtizamo wenu.karibu

Wakristu wanaabudu kila siku iendayo kwa Mungu...
 
Sisi kila siku ni siku ya kuabudu. tunaomba tupumzike wiki nzima ili tumwabudu mungu wetu.
.................Liwalo na Liwe!
 
Unaposema wanaomba muda wa mapumziko ili wacheze bao hayo ni matuc ndugu yng,,,au na nyie mkiambiwa dini yenu ya Sadaka na Ujanjaujanja utajisikiaje?mtu anajiita mtume na ww unakubali?au ndo uchawi wa Nigeria unawapumbaza?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwan waislam jumamosi na Jpili huwa haziwatoshi kupumzika jamani??! Siku tatu za mapumziko hii nchi itaendelea kweli.
 
Jamani naombeni tuelimike kupitia maneno ya baba wa taifa jk nyerere kuwa nchi hii haina dini bali watu wake ndo wenye dini
Sasa basi ieleweke kuwa katiba ni sheria mama ya nchi na ukiomba siku flani itambulike kama siku ya pumziko la wiki kwa lengo tu eti kuwapa waislamu fursa ya kuabudu si sahih manake takuwa dhahiri kuwa sasa nchi inadini.
Tunaposema watu wanadini manake ni kwamba serikali hii haitoingilia namna wala nyakati za kutekeleza haki yako ya kuabudu na kuamini ktk imani ila tu iwe katika kufuata sheria zingine za nchi bila kukiukwa. Nadhani jmos waislamu na wakatoliki hufanya kazi wasabato huabudu jpili waislamu na wasabato hufanya kazi lkn wakatoliki huabudu so fungueni macho na tuachane na fikra za udini au ukabila tunusuru vizazi vijavyo.
Tujenge taifa miaka hamsini taifa halijapata muelekeo wowote. Nawasilisha
 
aiseeeeee babaangu hata sisi wapagani 2nataka halamisi iwe siku ya mapumziko 2sali kwenye mizimwi yeto so weekend ianzie halamisi(wapagani) ijumaa( waislamu) jumamosi(sabato) jumapili(wakristo)

kama unaafiki piga like
za kutosha 2iweke kwenye katiba mpya
 
Jamani naombeni tuelimike kupitia maneno ya baba wa taifa jk nyerere kuwa nchi hii haina dini bali watu wake ndo wenye dini
Sasa basi ieleweke kuwa katiba ni sheria mama ya nchi na ukiomba siku flani itambulike kama siku ya pumziko la wiki kwa lengo tu eti kuwapa waislamu fursa ya kuabudu si sahih manake takuwa dhahiri kuwa sasa nchi inadini.
Tunaposema watu wanadini manake ni kwamba serikali hii haitoingilia namna wala nyakati za kutekeleza haki yako ya kuabudu na kuamini ktk imani ila tu iwe katika kufuata sheria zingine za nchi bila kukiukwa. Nadhani jmos waislamu na wakatoliki hufanya kazi wasabato huabudu jpili waislamu na wasabato hufanya kazi lkn wakatoliki huabudu so fungueni macho na tuachane na fikra za udini au ukabila tunusuru vizazi vijavyo.
Tujenge taifa miaka hamsini taifa halijapata muelekeo wowote. Nawasilisha

Nitakua tofauti na wewe kama ni usawa lazima uwe hivyotu.kuabudu ni haki ya kila mtu kikatiba lazima hiyo iwe wazi.serikali pia inajua hilo na ndio maana jumamosi hakuna kazi katika office nyingi za serikali.waislam lazima tulalame kwakua ukitaka kwenda kusali siku y a ijumaa unaomba ruhusa kwa mwajiri wako tena upangiwe na muda wa kurudi sa nane uwe umesharudi ya kuanzia saa sita na nusu mpaka saa8.pia wapo wanaonyimwa haki hiyo kabisa na waajiri wao.sasa wewe huoni wanahaja ya kulalamika?pia nimeona watu wameanza kuchangia kishabiki na kukashfiana hii sisawa dini zote zinatakiwa kupewa haki sawa na kuheshimiwa na hiyo serikali.wewe unajisikiaje pale unapokua kanisani unafanya ibada yako huku ukiwa huna haraka wala mawazo kwamba unatakiwa urudi kazini?vipi ungekua unaenda kanisani huku unatakiwa urudi kazini wakati mwingine inakulazimu kuacha ibada nusu ili uweze kuwah job.ungejiskiaje?
 
UPO SAWA KABISA TENA NAUNGANA NA WEWE KATIKA HARAKATI ZA KUFANYA HAKI ZOTE ZIHESHIMIWE!!! ILA naomba ieleweke tu kuwa katiba ni sheria mama inayotambulisha haki za binadamu na watu wafahamu haki zao!
Sikatai swala la waislamu kuabudu siku ya ijumaa ila nakataa swala la kuweka kipengele katika katiba kitakacho ifanya serikali iwe ni ya kidini while hatutaki serikali wala nchi yenye dini.
Ndugu yangu haki ya kuabudu itakuwepo tu palepale ila tunaweza kutunga sheria zingine zinazoweza kuweka utaratibu wa kutekeleza haki hii na ikaweza kufuatwa hata mahakamani! Hivyo basi kuweka sheria nyingine itakayokuwa na sura( chapter) itakuwa sahihi kuliko hiyo sheria kuwekwa katika katiba!!
Najua watu hawana uelewa na katiba pia elimu ya sheria za kikatiba. Ukweli ni kwamba kila mtu anayo haki ya kuabudu na kwa huru ya kweli sasa basi LABDA maoni yako yalenge katika kusema kuwa iongezwe ibara itakayozidhoofisha nguvu shetia zingine (mfano sheria za kazi )kuwa zisimzuie mtu au kundi katika kufanya ibada au kuabudu bali haki hii iheshimiwe na hapo ndugu tutapata marekebisho ya sheria zote zinazokiuka au kuzuia utekelezaji wa gaki ya kuabudu. Nawakilisha!!
 
Waislamu huwa ni wabinafsi sana, hawazungumzii masuala ya kitaifa, wako busy tu na kuwaza masuala ya kadhi, OIC, siku ya maandamano (Ijumaa) na fujo, kuingizwa kwenye Katiba!
Wakipewa misaada toka kwa wajomba zao (Waarabu) ni kujengewa misikiti/madrassa) tu na si shule!
 
UPO SAWA KABISA TENA NAUNGANA NA WEWE KATIKA HARAKATI ZA KUFANYA HAKI ZOTE ZIHESHIMIWE!!! ILA naomba ieleweke tu kuwa katiba ni sheria mama inayotambulisha haki za binadamu na watu wafahamu haki zao!
Sikatai swala la waislamu kuabudu siku ya ijumaa ila nakataa swala la kuweka kipengele katika katiba kitakacho ifanya serikali iwe ni ya kidini while hatutaki serikali wala nchi yenye dini.
Ndugu yangu haki ya kuabudu itakuwepo tu palepale ila tunaweza kutunga sheria zingine zinazoweza kuweka utaratibu wa kutekeleza haki hii na ikaweza kufuatwa hata mahakamani! Hivyo basi kuweka sheria nyingine itakayokuwa na sura( chapter) itakuwa sahihi kuliko hiyo sheria kuwekwa katika katiba!!
Najua watu hawana uelewa na katiba pia elimu ya sheria za kikatiba. Ukweli ni kwamba kila mtu anayo haki ya kuabudu na kwa huru ya kweli sasa basi LABDA maoni yako yalenge katika kusema kuwa iongezwe ibara itakayozidhoofisha nguvu shetia zingine (mfano sheria za kazi )kuwa zisimzuie mtu au kundi katika kufanya ibada au kuabudu bali haki hii iheshimiwe na hapo ndugu tutapata marekebisho ya sheria zote zinazokiuka au kuzuia utekelezaji wa gaki ya kuabudu. Nawakilisha!!

Na ninapenda kuwaonya wakristo kuwa kelele zao za kuomba siku ya jumapili isitumuwe na serikai katika maswala mazima ya ichaguzi kuwa huko nako ni kuchochea udini na kwa namna moja na waislamu watakuja na lao la kutaka ijumaa iwe siku ya mapumziko! JIHADHARINI JAMANI!!
Pi nawashangaa watu wanaoleta siasa hadi kupitia mianya ya udini HIVI Hamkumbuki historia kuwa tanganyika haikuwa na dini yoyote isitoshedin zote zilizopo ni za Kimapokeo alafu bado kunavijimti vinang'ang'ania maswala ya dini acheni hizo kama ni muumini mzuri kuwa na mda na mungu wako maswala ya umma na serikali naombeni yasiingie huku!! DINI KUNA WALIOZIPINGA NA WENGINE WALIZIKUBALI SASA ONA ZINQKOTUPELEKA!!! HERI TUNGEKUWA KAMA ZAMANI NADHANI FIKRA ZA NCHI HII ZINGEKUWA KATIKA KUJENGA NCHI!!
 
Wajapan hawataki kusikia habari za dini ukimletea habari za dini atakuambia waswahili mna sali sana Lakini masikini wa kutupwa kwanini mungu hawasaidii shida zenu na viongozi wenu hawaishi kupita huku na kule kuomba misaada! Wakati dunia ya kwanza wanahangaika na maisha sisi tunaendelea na hoja za ijumaa na jumapili, Mimi Nina amini binadamu wote tuna akili Sawa Kama hatutaweza kubadilisha mawazo yetu tutaendelea kudharauliwa mpaka mwisho wa dunia au tukubali western people are smarter than we are na sisi niwasindikizaji tu! Nilikuwa nacheki kwenye YouTube clip kuna sheikh kule tanga anataka serikali iweke sheria ambayo itayomruhusu mzazi wa kiislamu kumuozesha binti yake mwenye umri wa miaka 16 kwani kiislamu ni ruksa, sasa tujiulize Kama tunakuwa na mabinti wa kiislamu wasomi? Tumeona kwa binti wa kipakistani malala aliyedai dai haki zake za. Kusoma ameishia kupigwa risasi ya kichwa na watalaban! Angalia misri raisi morsy anataka kujiongezea madaraka ambayo Hakuna atakayeweza kuyatengua si mahakama wala bunge Ili aweze kulifanya taifa Hilo la kiislamu na pia kushindwa kwake kutambua haki za wanawake nafikiri uislamu ni utamaduni na dini kwa upande mwingine kwa watu wa maeneo Fulani kwa vile dini hizi ni mapokeo kwa Africa unakuta zinakuwa zinapingana sana na sheria za nchi, kwa wakristo tunasema ya kaisari muachie kaisari, kwa waislamu Imani Yao ndio mfumo wao wa maisha, someone has to loose Islam or ruling government unaweza kuomba mtafaruku huo
 
Back
Top Bottom